Migiro Aapishwa Rasmi


Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,616
Likes
32,192
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,616 32,192 280
Mhe. Dr. Asha Rose Migiro ameapishwa rasmi asubuhi hii, kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.Dr. Asha Rose Migiro, Akiapa Kiapo cha Ubunge wa Bunge la JMT.

Dr. Asha Rose Migiro akiingia bungeni huku akitanguliwa na wapembe wa bunge, na nyuma akisindikizwa na wapambe


Picha ni kwa hisani ya Mwanajf GRANDPUBA
Pasco 
kyanaKyoMuhaya

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
1,953
Likes
32
Points
145
kyanaKyoMuhaya

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2012
1,953 32 145
Sasa tusubiri habari ya mujini, prezooo akitoka kwa jirani.
 
Babu sea

Babu sea

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
465
Likes
127
Points
60
Age
36
Babu sea

Babu sea

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
465 127 60
Namaanisha kwamba kuwa yule aliyekuwa naibu katibu wa UN

hilo nijambo zuri lakini bado najiuliza kwanini JK ameamua kumteua katika nafasi hiyo ya ubunge right now?
 
N

ng`wana ong`wa kulwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
2,426
Likes
349
Points
180
N

ng`wana ong`wa kulwa

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
2,426 349 180
Asha Rose Migiro ameapishwa rasmi asubuhi hii
Au ndo maandalizi ya mrithi wake,sasa Nape amebaki na Kinana kuzunguka huko na huko mala wabebe matofari,wabebe magogo mala washike majembe siasa za maigizo kazi kwelikweli.
 
A

appriciator

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
276
Likes
1
Points
0
A

appriciator

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
276 1 0
Hiyo ni kura ya turufu inaandaliwa.
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,882
Likes
64
Points
135
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,882 64 135
Mkuu kwa standard yoyote iliyokwenda shule. Kwa kigezo chochote cha busara za kisiasa, Migiro hapaswi kuwa waziri, leave alone mbunge wa kuteuliwa. Nadhani ingekuwa busara kama angesubiri kugombea jimbo mwaka kesho. Sidhani kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuwa PM (stand to be corrected)
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
27,749
Likes
31,825
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
27,749 31,825 280
Au ndo maandalizi ya mrithi wake,sasa Nape amebaki na Kinana kuzunguka huko na huko mala wabebe matofari,wabebe magogo mala washike majembe siasa za maigizo kazi kwelikweli.
View attachment 126213
Unasema maigizo? Huoni hapo anamfundisha gari mtoto lwa vitendo? Labda uulize jee huo ndio mwisho wa akili ya Kinana?
 
D

duchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Messages
1,766
Likes
3
Points
0
D

duchi

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2012
1,766 3 0
View attachment 126213
Unasema maigizo? Huoni hapo anamfundisha gari mtoto lwa vitendo? Labda uulize jee huo ndio mwisho wa akili ya Kinana?
Ana akili sana Kinana. Kwa kitendo hicho hapo tu ameshaipa kura CCM kwenye kijiji hicho. Nyie kaeni na maandamano na pipooooz!

 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
491
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 491 180
Asha Rose Migiro ameapishwa rasmi asubuhi hii
Hongera yake kwa kuingia kwenye mjengo. Anaandaliwa for 2015 highest position. Pasco unacheza na alama za nyakati wewe!!!!!! Lowassa akipigwa chini mdada unaye, akipigwa chini machinga uko naye hahahaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
papason

papason

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
2,679
Likes
1,122
Points
280
papason

papason

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
2,679 1,122 280
Ahaaa sasa nimeelewa kwa nini mizengwe anaandaliwa 'No Confidence Vote' kumbe kale kamkakati kaliko mtoa machozi 6 kameisha anza rasmi ' tusubiri hili 'li-move' la kihindi litakuaje
 
M

MASHANJARA

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
172
Likes
79
Points
45
M

MASHANJARA

Senior Member
Joined Apr 2, 2012
172 79 45
Nadhani ni mkakati mzuri kwa CCM na Taifa kwa ujumla. Rais amefanya vema kwa sababu amemteua mtu mwenye sifa nzuri kitaaluma-mama msomi aliyebobea, mjuzi wa siasa za kimataifa ambazo ilikuwa ni kwa sababu ya kufaulu siasa za nyumbani. Lakini pia uwezo binafsi wa Dr Migiro, uadilifu wake na unyenyekevu unanifanya niamini tunamhitaji mama sio tu kwa bunge na chama chake ambapo ni mjumbe wa Kamati kuu lakini nashawishika kusema wa nchi ya Tanzania kwa ujumla. Ninachomshauri mama ni kujaribu kujiondoa kwenye makundi maovu ndani ya chama chake, kutetea sifa yake njema, kusimama na wananchi wanyonge na kujionyesha kama msomi. Hongera mama Migiro. Naunga mkono hoja ya JK.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
38,928
Likes
19,607
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
38,928 19,607 280
Ahaaa sasa nimeelewa kwa nini mizengwe anaandaliwa 'No Confidence Vote' kumbe kale kamkakati kaliko mtoa machozi 6 kameisha anza rasmi ' tusubiri hili 'li-move' la kihindi litakuaje
Huyu Asha hawezi kupata uwaziri mkuu kwa ubunge wa dezo.

Waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na wananchi jimboni.
 
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
2,650
Likes
690
Points
280
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
2,650 690 280
Huyu Asha hawezi kupata uwaziri mkuu kwa ubunge wa dezo.

Waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na wananchi jimboni.

Unahangaika na mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri, yeye kila kitu ni kuchangia tu.
 
Ikwanja

Ikwanja

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Messages
2,083
Likes
341
Points
180
Ikwanja

Ikwanja

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2011
2,083 341 180
ccm wamshindwa kumlipa mshahara huyo mama wameona aende pia kudunduliza michongo ya bungeni
 
J

jzm-teak

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
1,629
Likes
19
Points
135
J

jzm-teak

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
1,629 19 135
kwahiyo hiyo mukulu ameona ndiiiioooo za ccm hazitoshi, kaamua kuongezea nguvu? kwani anaenda kuleta mada mpya?
ni kumwongezea mzigo mwananchi tu!
 
M

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Messages
6,619
Likes
1,798
Points
280
M

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2010
6,619 1,798 280
tamaa mbele and two feast kuna mdau humu anafanana kitabia na mzee wa kwenye hii story, kaenda kwenye harusi ya lowasa kaona msosi unachelewa kakimbilia kwenye harusi ya migiro akikuta msosi umeisha atarudi kwa lowasa ambapo atakuta geti limefungwa hivyo kukosa vyote
 
Ben Mugashe

Ben Mugashe

Verified Member
Joined
Oct 9, 2008
Messages
990
Likes
169
Points
60
Ben Mugashe

Ben Mugashe

Verified Member
Joined Oct 9, 2008
990 169 60
Hongera yake kwa kuingia kwenye mjengo. Anaandaliwa for 2015 highest position. Pasco unacheza na alama za nyakati wewe!!!!!! Lowassa akipigwa chini mdada unaye, akipigwa chini machinga uko naye hahahaaaaaa
Hii nimeipenda sana!!! Kumbe nawe unafuatilia nyendo zake? ila #Pasco ni mtu safi anafaa kila idara maana hachukui bahasha kabisa!!
 

Forum statistics

Threads 1,250,757
Members 481,468
Posts 29,743,911