MIGA.Ufafanuzi kuhusu MIGA

MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,826
5,451
Habari ndugu,
Toka swala la makinikia limeanza kumekuwa na hiki kitu kinachosemwa sana na wanasiasa na wasomi na hata wasio wasomi."MIGA"Kwa upande wangu bado ni kizunguzungu sana katika hili.

Hili jukwaa naamini linawataalamu na wajuzi katika hili.Naomba mwenye ufahamu anifafanulie
1.Nini maana ya MIGA na jinsi inavofanya kazi.
2.Umuhimu wa kujitoa au kubaki MIGA katika kushughulikia hili tatizo la makinikia. Ningependa kujua faida na hasara zake kiuchumi na kidiplomacy.
3.Jinsi MIGA inavoweza kiathiri wawekezaji wengine nje ya ACACIA endapo tutajitoa.
4.Process za kujitoa MIGA na mwisho wake ktk hili la acacia. Yaani end results.

Kuuliza so ujinga. Naomba utaalam kwanza siasa na Mihemko ya vyama isiwepo.Huna utaalam ni bora ukapita kimya.

Karibuni.
 
Soma doc yao hii hapa
 

Attachments

  • MIGA Convention February 2016.pdf
    496.9 KB · Views: 84
Back
Top Bottom