Mifumo ya MUWASA moshi inatoa maji machafu

Aspatam

Member
Oct 26, 2018
46
35
leo mida ya saa nane nimeshtuka baada ya kufungua kock ya maji muwasa na kuona yanatoka maji machafu . sjiu maji taka na maji saf yanaingiliana? Na kama ndo hvyo hal ya afya ya watumiaji itakuwa je? ..wafatalie mapema kabla ya makubwa kutokea
 
Hebu nyooooosha maelezo kidogo tukuelewe,mimi ni mtumiaji wa maji ya MUWSA,sasa hizo taarifa zako zinaweza zikawatisha watu Meku,ni wapi hiyo?
 
Wapi uko tena ila saa nyingine inatokeaga kukiwa na mafuriko maji yanachanganyikana na udongo lakini maji taka haiwezekani kuchanganyikana huu ni uwong mtakatifu
 
Itakuwa ndicho kilichotokea, huyo ni chasaka hajui kitu. Nia yake itakuwa siyo njema. Alikasirishwa baada ya kusikia juzi wazungu wamekuja Moshi kujifunza kuhusu maji safi.
 
Ha ha ha haa, eti maji taka yameingiliana na maji safi...ha ha ha ha, ile unakunywa mara paap kitu cha mbolea ya binadamu kiko mdomoni lo!
 
Itakuwa ndicho kilichotokea, huyo ni chasaka hajui kitu. Nia yake itakuwa siyo njema. Alikasirishwa baada ya kusikia juzi wazungu wamekuja Moshi kujifunza kuhusu maji safi.

Maji moshi ni mengi na sina habari lini yalishakatika yaani tuna mfanyakazi wa ndani tulimtoa kule Dodoma akaja home akakaa mwaka nashangaa alikuwa mweupe na mwili ukajaa yaani mpaka nilimtamani.

Nakumba alikuwa akienda kuoga ndani anaingia na nusu ndoo anaoga na bado maji yanabaki yaani nilikuwa nam-mind alivyozoea yaani alipendaza acheni tuuu Moshi ni balaa ni mbingu iliyo tanzania.
 
moshi ndio tuition ya usafi tz
 
moshi hakuna shida ya maji,hata beer na soda za huko ni tamu kuliko za chato city,maji matamu,hadi cows wa huko ni watamu especially wa kutoka manyara ni watamu na laini nyama choma saafi sio kama ya CHATO CITY
 
Uku wagogo wanapata shda ya maji sio kdgo hasa maeneo ya vijijini ad huruma
 
moshi hakuna shida ya maji,hata beer na soda za huko ni tamu kuliko za chato city,maji matamu,hadi cows wa huko ni watamu especially wa kutoka manyara ni watamu na laini nyama choma saafi sio kama ya CHATO CITY
ukweli mtupu mkoa ambao huduma za jamii zipo kama lAmi,umeme,hospital tangu hata kabla ya uhuru
 
Back
Top Bottom