Itakuwa ndicho kilichotokea, huyo ni chasaka hajui kitu. Nia yake itakuwa siyo njema. Alikasirishwa baada ya kusikia juzi wazungu wamekuja Moshi kujifunza kuhusu maji safi.Wapi uko tena ila saa nyingine inatokeaga kukiwa na mafuriko maji yanachanganyikana na udongo lakini maji taka haiwezekani kuchanganyikana huu ni uwong mtakatifu
Sidhani kama ni Meku huyo. Huyu ni mchafuzi tu.Hebu nyooooosha maelezo kidogo tukuelewe,mimi ni mtumiaji wa maji ya MUWSA,sasa hizo taarifa zako zinaweza zikawatisha watu Meku,ni wapi hiyo?
Itakuwa ndicho kilichotokea, huyo ni chasaka hajui kitu. Nia yake itakuwa siyo njema. Alikasirishwa baada ya kusikia juzi wazungu wamekuja Moshi kujifunza kuhusu maji safi.
Maji moshi ni mengi na sina habari lini yalishakatika yaani tuna mfanyakazi wa ndani tulimtoa kule Dodoma akaja home akakaa mwaka nashangaa alikuwa mweupe na mwili ukajaa yaani mpaka nilimtamani.
Nakumba alikuwa akienda kuoga ndani anaingia na nusu ndoo anaoga na bado maji yanabaki yaani nilikuwa nam-mind alivyozoea yaani alipendaza acheni tuuu Moshi ni balaa ni mbingu iliyo tanzania.
moshi ndio tuition ya usafi tzItakuwa ndicho kilichotokea, huyo ni chasaka hajui kitu. Nia yake itakuwa siyo njema. Alikasirishwa baada ya kusikia juzi wazungu wamekuja Moshi kujifunza kuhusu maji safi.
Uku wagogo wanapata shda ya maji sio kdgo hasa maeneo ya vijijini ad hurumaMaji moshi ni mengi na sina habari lini yalishakatika yaani tuna mfanyakazi wa ndani tulimtoa kule Dodoma akaja home akakaa mwaka nashangaa alikuwa mweupe na mwili ukajaa yaani mpaka nilimtamani.
Nakumba alikuwa akienda kuoga ndani anaingia na nusu ndoo anaoga na bado maji yanabaki yaani nilikuwa nam-mind alivyozoea yaani alipendaza acheni tuuu Moshi ni balaa ni mbingu iliyo tanzania.
ChasakaItakuwa ndicho kilichotokea, huyo ni chasaka hajui kitu. Nia yake itakuwa siyo njema. Alikasirishwa baada ya kusikia juzi wazungu wamekuja Moshi kujifunza kuhusu maji safi.
ukweli mtupu mkoa ambao huduma za jamii zipo kama lAmi,umeme,hospital tangu hata kabla ya uhurumoshi hakuna shida ya maji,hata beer na soda za huko ni tamu kuliko za chato city,maji matamu,hadi cows wa huko ni watamu especially wa kutoka manyara ni watamu na laini nyama choma saafi sio kama ya CHATO CITY