Mifuko yapewa siku 21 kulipa mafao

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12644838_1035577243173400_4713363989924711997_n.jpg
 
NSSF wamezidi jamani ukihitaji hela yako utadhaini unafuatilia mkopo vile.
 
Mimi NSSF walinilipa siku ile ile waliyokuwa wameniandikia. Yaani hawakupunguza, wala kuongeza.
 
Nssf wapuuzi mno. Unaambiwa uje after 2weeks ukienda unapewa sound za kujinga za ooh...ndio tunacompile michango yako yote, njoo after one week...bullshit kabisa hawa jamaa
 
Back
Top Bottom