mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,704
Hakika inasikitisha sana kuona watu waliolitumikia Taifa hili mpaka Kustaafu leo wanateswa na Mifuko ya PSSSF na NSSF Mifuko waliyoichangia kwa uaminifu mkubwa.Wastaafu hawa hawana kipato chochote zaidi ya kusubiri malipo yao ya Mkupuo na Pensheni ya kila mwezi.
Hebu tuwafikirie Wazee hawa nani anaweza kuwakopesha wakati wanasubiri hayo malipo?, Je wanajikimu vipi na familia zao?Wastaafu walio wengi ni wale waliostaafu toka Mei 2018 mpaka Desemba 2018.Ni vema Viongozi wa Hiyo Mifuko na Serikali ikawalipa Wastaafu hao.