Mifuko ya hifadhi ya jamii yatakiwa kuacha janja janja ya kuwasumbua wanaohitaji mafao yao

Nae katukwaza Sana kutuletea waporipori kushika madaraka ndio madhara yake haya bora Mwinyi wa Zanzibar aje huku ana ahueni na exposure sio Hawa walioko sasa huku bara
Kikwete hakuwa na nguvu, Genge la Mkapa lilimshinda nguvu kama ilivyotokea kwenye Katiba ya Warioba
 
Huyu Mama anawafanya watanzania ni wajinga.

Kama ingekuwa ni nchi inayoheshimu uhuru wa kusema, ni mifuko hii ndiyo yenye haki ya kutoa kauli dhidi ya Serikali, kwa kuiimbia Serikali, 'Serikali lipeni hela mlizokwapua ili tuwalipe wafanyakazi mafao yao kwa wakati'.
 
Nae katukwaza Sana kutuletea waporipori kushika madaraka ndio madhara yake haya bora Mwinyi wa Zanzibar aje huku ana ahueni na exposure sio Hawa walioko sasa huku bara
Wanzazibar watakwambia "Mwinyi wetu mtamsikia tu...kaeni na hao hao", si unawajua wale kwa mipasho.
 
Kuna Mzee wangu amestaafu 2018 mpaka leo Anasumbuliwa Kaambiwa apeleke Mafaili yake yote ya Sehemu zote alizofanya kazi toka Ameajiriwa mpaka amestaafu.Mzee aliajiriwa 1979 je Nauli ya kuzungukia kwenye hizo Wilaya ili achukue Mafaili anazipata wapi? Kwanini PSSSF wasiwasiliane na Ofisi alizofanya kazi ili watume Mafaili ? Mzee amefanya kazi Mikoa 4
Poleni sana,
Udhulumati tu ndio unaofanyika , taarifa wanazo sema wanachofanya ni dhuluma tuu.
 
Kuna Mzee wangu amestaafu 2018 mpaka leo Anasumbuliwa Kaambiwa apeleke Mafaili yake yote ya Sehemu zote alizofanya kazi toka Ameajiriwa mpaka amestaafu.Mzee aliajiriwa 1979 je Nauli ya kuzungukia kwenye hizo Wilaya ili achukue Mafaili anazipata wapi? Kwanini PSSSF wasiwasiliane na Ofisi alizofanya kazi ili watume Mafaili ? Mzee amefanya kazi Mikoa 4
Kuna Mstaafu ambaye alianza kazi mwaka 1982 ambaye alitakiwa kuleta salary slips za mwaka huo ili kuthibitisha kama alikuwa kazini kipindi hicho. Mstaafu huyo alikuwa vizuri sana katika kutunza kumbukumbu zake na alisomba slips zote toka 1982. Sasa wanatafuta kisingizio kingine kipya ili tu wasimlipe pesa yake kwa wakati.
 
Mwalimu kastaafu mwaka 2015, lakini mpaka leo, hajalipwa mafao yake, anazungushwa tu. Na sio yeye peke yake, ana wenzake pia wengi tu. Kuna siku moja nlikuwa napga stor na diwan mmoja mtaan kwetu, nikamwambia hii miradi inayotengenezwa na serikali inatoa mwanga kwa maisha ya mbeleni.

Akanambia, ni kweli, lkn kuna kundi moja serikal hii imelisahau kidogo kuliwekea mikakati endelevu. Kundi la wazee ambao wanahtaji emergency fix ya maisha yao. Akatoa mfano, Luna wazee hawana kila kitu, kila siku wanamfata ili wapewe chakula.

Baada ya kuambiwa hayo na diwan huyo ndpo nlipomkumbuka hyu mwalim msitaafu anavyohangaika kufatilia mafao yake bila mafanikio mpaka sasa anaona ni kero kuishi. Serikali iwaangalie wastaafu hao waliostaafu mwaka 2015 wilaya ya Meatu lakini zaid iendelee kuwatunza wazee na kuwa na mikakati endelevu ya kuwasaidia hawa wazee wetu, kama vile kuwa na vituo vya kuwalea wanapofkia uzee kabla Mungu hajawaita.

Elimu yangu ni darasa la saba. Kuna watu walkuwa wanaulzia elimu yangu nafkri mpka hapo tumeelewana
 
Hahah kwa usanii tu viongozi wa serikali wako vzr.

Kama vile Mhagama hajui kinachoendelea kwny mifuko hio.
 
Kuna Mzee wangu amestaafu 2018 mpaka leo Anasumbuliwa Kaambiwa apeleke Mafaili yake yote ya Sehemu zote alizofanya kazi toka Ameajiriwa mpaka amestaafu.Mzee aliajiriwa 1979 je Nauli ya kuzungukia kwenye hizo Wilaya ili achukue Mafaili anazipata wapi? Kwanini PSSSF wasiwasiliane na Ofisi alizofanya kazi ili watume Mafaili ? Mzee amefanya kazi Mikoa 4

Na watamsotesha sana tu mkuu,maana hio ndio style yao ya klufanyaji kazi.
 
Back
Top Bottom