Mifano Halisi (Picha): Wenzenu Hawana Majamvi...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,549
40,205
Picha hii inapaswa iangaliwe na wale wanaoitwa "viongozi wetu"; wajiulize kama kweli wao ni mifano halisi au la...

20140608-635378590101851491w.jpg


Kuanzia kushoto Rais wa Israel - Shimon Peres, Rais wa Palestina Abu Mazen, Papa Francis na Patriach Bartholomew wa Orthodox Church.
 
Majamvi hawaombi wao!, waleta majamvi ni wale wanaopenda kujikomba komna na kujipendekeza kimbelembele wala huwezi kupata a good picture kama hio, huku kwetu wamezungukwa na mijitu kibao!.
P.
 
Mkuu, kwa viongozi wetu hiyo ni ndoto kwao kujifunza. Kwani kunapicha nyingi sana za Mzee wetu hapapa TZ J.K. Nyerere zikimuonyesha akipiga mzigo mwanzo mwisho(shika tofali, lete chepe na udongo, kamata jembe tupalilie etc) hta kupanda miti kama hiyo, na bado wameshindwa kumuuiga. Ila kwa sasa (KATIBA) wanamuenzi.
Hatari sana hawa.
 
Back
Top Bottom