Miezi sita ya Rais Samia uwekezaji wapaa kwa 400% wafikia $3bl toka $510M | Ni mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho

T 230 SSH

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
346
500
Very true....

Hakuna nchi duniani imeendelea kwa kugombana na watu kila siku, narudia tena haipo.

Hata Vietnam waliopigana vita vya moto na "mabeberu" kwa miaka zaidi ya 20 baadae walijua ukweli huu muhimu. To move forward you need more friends than enemies.

Tuvutie uwekezaji, watu wapate ajira. Huu upumbavu wa kunyanyua mabega na umaskini wetu ulikuwa unaenda kutuua.
Umenena yaliyosahihi
 
Overspoon

Member
Jun 25, 2021
54
125
Kwanini unateseka nchi yako kupata maendeleo,

Wewe unatokea nchi gani?

Hii miradi itamwajiri hata ndg yako kama sio wewe

Kama huna ndugu hata jirani yako ataajiriwa pia,

Why can't you positive to your country?
Nini maana ya uwekezaji kukua kwa asilimia 400.Tafsiri yake ni nini kwa Mtanzania.Kwa tafsiri yangu ndogo sana nafikiri, uwekezaji ukikua kwani kuna ulazima wa kuwa na tazo? Kuna ulazima wa kupandisha petroli kila kukicha kwa kuongeza kodi za kumgandamiza Mtanzania maskini,kwa kisingizio cha kujenga madispensari na mabarabara? mara makodi ya majengo tena yanayotozwa kwa lazima kila mwezi ukinunua umeme bila kujua ukomo wake, na makodi mengine lukuki.

Mimi nilitegemea kwa hiyo asilimia kubwa hivyo,uwekezaji huo uweze kuwanufaisha wananchi kwa kuwaondolea makodi na matozo yanayobebwa na watanzania wengi walio maskini kwa maumivu makali, angalau basi hali ya maisha yashuke na unafuu uonekane sio kwa nadharia bali kwa uhalisia.

Nafikiri tufike mahali viongozi wetu watuambie hakuna tena kukatwa matozo kwenye miamala ya simu, matozo unaponunua umeme, mafuta ya kula yameshushwa kodi kwa sababu uwekezaji umechukua nafasi hiyo kutokana na uchumi kupandishwa na wawekezaji.

Mimi ukiniambia uwekezaji umepanda kwa 400% wakati hali tunayoishi nayo ya shida iko palepale statement yako hiyo sitakaa nikuelewe milele.Nitakuelewa tu utakaponiambia makodi,matozo na makodi mengine ya petroli yameondolewa au yameshushwa sana na serikali kutokana na uwekezaji mkubwa.

Nilimsikia mbunge mmoja akisema,kwenye petroli peke yake kuna kodi sio chini ya 19.Hesabu kuanzia 1,2,3,mpaka 19.Hizi ni kodi mwananchi analipa.Halafu unasimama unasema uwekezaji umepanda kwa hiyo asilimia uliyosema mleta mada.Bado sijakuelewa una maanisha nini.
 
Kada kichaa

JF-Expert Member
Sep 14, 2018
308
250
Jibu Mswali haya kwa Ukamilifu,

1.Rais Mnyenyekevu Africa -SAMIA

2.Rais mpole Africa -SAMIA. √

3. Rais mchamungu Africa -SAMIA √

4. Rais rafiki wa wananchi wake Africa -SAMIA √

5. Rais Chaguo la Watanzani 2025-2030 -SAMIA √

Tanzania juu,ndani ya miezi mitano ya Rais Samia uwekezaji wakua kwa 400% wafikia $ 3bl ni mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho,
_________________________________________
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,115
2,000
Tanzania juu,ndani ya miezi mitano ya Rais Samia uwekezaji wakua kwa 400% wafikia $ 3bl ni mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho,
_________________________________________
Tunataka ma Rais wa hivi sio wale wachunga ng'ombe..

Miaka 5 iliyopita tulipigwa Sana.

Heko Madam President,legacy hailazimishwi kwa ndita.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,785
2,000
Magufuli alikuwa anatupeleka pabaya sana.
Tanzania juu,ndani ya miezi mitano ya Rais Samia uwekezaji wakua kwa 400% wafikia $ 3bl ni mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho,
_________________________________________
Ndg Watanzani,Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 imesajiliwa kati ya March na Agosti
 
Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
1,287
2,000
Tanzania juu,ndani ya miezi mitano ya Rais Samia uwekezaji wakua kwa 400% wafikia $ 3bl ni mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho,
_________________________________________
Ndg Watanzani,Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 imesajiliwa kati ya March na Agosti
UONGO...............propaganda za kijima hizo..........................................uwekezaji upande huku mnatoza watu kinyume na hali ya kiuchumi kwa wananchi wake?

Ninyi wa wanyonyaji wakubwa na kinachopatikana mtakuja kukitema mbeleni........Tanzanians can't buy this sarcasm propaganda which cunningly and dexterously motivated to brainwash the citizens without a sincere duty of care for their present and tomorrow's prosperity.
 
Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
2,426
2,000
Unafikiri uwekezaji ni kama ile nyumba ya Abunuasi kujengwa hewani eeh!Hata setilite zinajengewa ardhini ndio zirushwe kwenda kuelea kwenye hizo anga za mbali. Wako waliowekeza kwenye uwanja ambao uwekezji unawekezwa sasa ukweli unatabia ya kujisimamia. Wawekezaji wanawekeza kwenye miundombinu wezeshi na rafiki nayo unataka kutudanganya imeota kama uyoga kwa miezi 5. Sigiara mlioachiwa inawatoa kamasi.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
55,191
2,000
Unajua nini?!

Tanzania nchi ya ajabu sana,

Mtu anakuja CCM kisa mtu fulani yupo huko,

Siku huyo mtu asipokuwepo CCM anaanza kukipinga chama chake,

Huu ni Ushamba uliopitiliza,shame on you,

Mkt wa chama anafanya juhudi sisi CCM ndio tunakuwa wakwanza kumshika shati, Haipendezi,

Hiki chama ni chetu sote,

Kikianguka tutaanguka wote,

Why can't we see namna Mkt anapambana kuipaisha nchi na chama Chetu?

Basi Tuendelee kuiunga mkono CCM Kama Mama hatumtaki,

Samia is in another level tukubali tukatae na mpanga wa yote ni Mungu sisi ni nani tupingane na Mungu wetu?

Tuache ushamba, better You keep quiet kuliko kupotosha watu,
Hapa ni vita ya Mataga na Mazaga mnapambana.

NB:
Mazaga ni mataga ya zanzibar iliyochipukia hivi majuzi.
 
mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
5,620
2,000
Utaumia sana, JPM yupo kuzimu, Mama ndio habari ya mujini mpaka 2030 inshallah.

Usijitafutie maradhi ya moyo kwa kumchukia the choosen one, ukisikia chaguo la Mungu ndip mtu kama Samia.

Hakugombea Urais ila Mungu amependezwa naye.
Mama kasema urais kapata kwa kudra ya Mungu ina maana Magu kaondoka kwa kdra hiyohiyo

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mar 19, 2021
64
125
Tanzania juu,ndani ya miezi mitano ya Rais Samia uwekezaji wakua kwa 400% wafikia $ 3bl ni mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho,
_________________________________________
Ndg Watanzani,Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 imesajiliwa kati ya March na Agosti 2021,ambayo ni karibu na Tshs 7trilioni,Ukisikia Mama anaupiga mwingi hii ndio maana halisi ya "kuupiga
Siku hizi kuna BANGI NA MAJI YA BANGI MAGUFULI ALITUFUNDISHA SAMIA ANA TUKOSESHA

PANAITAJIKA MWALIMU MWINGINE IKO HIVYO MKIACHWA BILA MWALIMU ANAWEZA KUJA WATEMBO AU FORM SIX LEVEL AMBAYE YEYE HATA EXPERIENCE NA UZOEFU HANA ILA ANAKUWA NA UJUUZI WA CHINI HALAFU HAWEZI KUUFIKISHA MAANA HANA MAARIFA YA KUFIKISHA ILA ANAKUWA ANAWATAMBIA JINSI MASOMO YALIVYO MAGUM FORM SIX HIVYO TANZANIA MAGUFULI NDIO ALIKUWA MWALIMU HALISI SASA HIVI TUNA FORM SIX
 
Interested Observer

JF-Expert Member
Mar 27, 2006
2,142
2,000
Unajua nini?!

Tanzania nchi ya ajabu sana,

Mtu anakuja CCM kisa mtu fulani yupo huko,

Siku huyo mtu asipokuwepo CCM anaanza kukipinga chama chake,

Huu ni Ushamba uliopitiliza,shame on you,

Mkt wa chama anafanya juhudi sisi CCM ndio tunakuwa wakwanza kumshika shati, Haipendezi,

Hiki chama ni chetu sote,

Kikianguka tutaanguka wote,

Why can't we see namna Mkt anapambana kuipaisha nchi na chama Chetu?

Basi Tuendelee kuiunga mkono CCM Kama Mama hatumtaki,

Samia is in another level tukubali tukatae na mpanga wa yote ni Mungu sisi ni nani tupingane na Mungu wetu?

Tuache ushamba, better You keep quiet kuliko kupotosha watu,
Hivi wewe umewahi kufika pale investment centre? Kwa common sense yako tu wale jamaa kupitisha mradi mmoja inachukua miezi. Huyu mama amekaa hapo hata miezi sita haipo, lini hiyo miradi imepitishwa? Assume mradi mmoja Kwa wiki moja, miezi mitano itapitishwa mingapi? Au mnaongelea applications ?
pale kuna miradi aiendi hadi usukume na utoe kitu wakati mwingine.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,309
2,000
Unajua nini?!

Tanzania nchi ya ajabu sana,

Mtu anakuja CCM kisa mtu fulani yupo huko,

Siku huyo mtu asipokuwepo CCM anaanza kukipinga chama chake,

Huu ni Ushamba uliopitiliza,shame on you,

Mkt wa chama anafanya juhudi sisi CCM ndio tunakuwa wakwanza kumshika shati, Haipendezi,

Hiki chama ni chetu sote,

Kikianguka tutaanguka wote,

Why can't we see namna Mkt anapambana kuipaisha nchi na chama Chetu?

Basi Tuendelee kuiunga mkono CCM Kama Mama hatumtaki,

Samia is in another level tukubali tukatae na mpanga wa yote ni Mungu sisi ni nani tupingane na Mungu wetu?

Tuache ushamba, better You keep quiet kuliko kupotosha watu,
Ndiyo akina Pole pole na Bashiru hao
 
polokwane

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
1,583
2,000
yaani mkuu kuna watu watakufa kwa chuki zao wenyewe hata ukiwauliza kwanini wankuwa na chuki kiasihicho hata wao wanaweza wakawa hawajui ni hurka tu za binaadam
Yale mambo ya kutajwa tajwa rais mara ooh! Jitihada za magufuli, mara ooh! juhudi za magufuli , mambo ya kusujudiana yamekwishaa, ule ulikuwa ujinga na utumwa mkubwa sana walah!
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,156
2,000
Kwahakika mwelekeo huu ni mzuri,Unatia moyo na unapunguza machungu ya kumpoteza jemedari wetu hodari Hayati Dk John John Pombe Magufuli,

Je umesahau kwamba ni huyo huyo "JEMEDARI" aliyewakimbiza wawekezaji wengi?? 😏---- in his time many investors left the country to invest in other countries fleeing harsh environments posed by the "Jemedari".
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,153
2,000
Uwekezaji wote huu hauna ajira!? UPUUZI MTUPU!!!!

Tanzania juu,ndani ya miezi mitano ya Rais Samia uwekezaji wakua kwa 400% wafikia $ 3bl ni mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho,
_________________________________________
Ndg Watanzani,Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 imesajiliwa kati ya March na Agosti 20
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom