Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,980
4,076

Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho​

"Hakuna kama Samia "​


Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na mwezi Agosti 2021,ambayo ni karibu na TZS 7trilioni,

Ukisikia Mama anaupiga mwingi hii ndio maana halisi ya "kuupiga mwingi " sasa, Watanzania lazima tushukuru kumpata mchapakazi mwingine wa viwango vya juu zaidi,

Katika kipindi kama hicho FY2019|2020 Jumla ya miradi 105 yenye thamani ya US$510M ilisajiliwa amabyo ni sawa na karibu TZS 1.1trilioni ,

Ndani ya miezi sita ya kwanza ya Rais Samia na kutokana na Juhudi mbalimbali anazozifanya Rais wetu tayari tumeongeza uwekezaji kwa TZS 4trilioni ambazo ni sawa karibu na 400% ya uwekezaji uliofanywa FY2019|2020 yaani ni karibu mara sita zaidi,heko Rais Samia.

Wale Wote wenye mapenzi mema na Tanzania endeleeni kumwombea na kumshika mkono Mama huyu kwani kwahakika mwelekeo huu ni mzuri,Unatia moyo na unapunguza machungu ya kumpoteza jemedari wetu hodari Hayati Dk John John Pombe Magufuli,Mungu tembea na Tanzania yetu.

IMG-20210918-WA0036.jpg

VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
 


JISOMEE HAPA TAARIFA KAMILI
============================


Investments hit nearly $3bilion in 5 months
Monday September 20 2021

Tanzania registered $2.98 billion in investments in five months starting in March this year, representing a growth of close to six times compared to the same period last year.

Tanzania Investments hit nearly $3bilion in 5 months
________________________________


IN SUMMARY

Dar es Salaam.
Tanzania registered $2.98 billion in investments in five months starting in March this year, representing a growth of close to six times compared to the same period last year.

The government spokesperson, Mr Gerson Msigwa, said yesterday that the country registered 133 new projects valued at a total of $2.98 billion (about Sh7 trillion) between March and August 2021.

Mr Msigwa made the statement when addressing the media in Dodoma at his weekly briefing, saying a report by the Tanzania Investment Centre (TIC) says that the 133 new projects were 28 more than the 105 projects worth $510 million, and which were registered during the same period last year (2020).

“Most of the investments are directed at agriculture, construction, trade, energy, infrastructure, finance, financial institutions, transportation, tourism and services sectors,” he said in a live broadcast.

Mr Msigwa attributed the increase to measures taken by the government through TIC that include introduction of one-stop services at TIC.

The move has put 12 government institutions - including the Tanzania Revenue Authority (TRA), Business Registration and Licensing Agency (Brela), the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) - under one roof, thereby reducing inconveniences to investors.

The government has also introduced the Tanzania Investment Window (TIW) that provides room for prospective investors from across the world to register investments online. “At least 273 pieces of land covering 159,721 hectares have been surveyed in different regions, thus easing land acquisition processes to prospective investors.

“Also, customer services at the TIC have been significantly improved,” he said.

Mr Msigwa - who is also the Information Services Department director - said 36 projects (27 percent of the 133 projects) have been registered by individual Tanzanians, while 34 others (25.56 percent) are partnerships.

He named some of the projects being implemented as the $180 million (Sh423 billion) fertiliser factory in Dodoma, with an annual capacity to produce 500,000 tonnes of fertilisers, and employ 3,000 workers.

Mr Msigwa said an Egyptian firm has invested in development industrial parks, thus not only creating jobs, but also produce goods and reduce imports.

“S. J. Sugar Company is investing in sugarcane production at Kitere Village in Mtwara Region. It is in the final stages of land acquisition before starting production,” he said - adding that the $300 million project is being implemented by the Mufindi Paper Mills under Rai Sugar in Kasulu District, Kigoma Region.

He said President Samia Suluhu Hassan would like more investments in assorted projects that create a win-win situation. Prospective investors are, therefore, encouraged to choose Tanzania as the preferred investment destination.

“Investors are assured of reliable markets due to the country’s rapid population growth, as well as its membership in the East African Community (EAC) and the Southern African Development Community (Sadc),” he said.

He said the country has recently ratified the African Continental Free Trade Area (ACFTA) protocol and that it has signed several agreements allowing locally produced products to be traded in China and the US.
 
Toa upuuzi wako, huwezi fananisha huyu na mwamba JPM, huyu mama yenu mwisho 2025, aende kucheza na wajukuu.
Utaumia sana, JPM yupo kuzimu, Mama ndio habari ya mujini mpaka 2030 inshallah.

Usijitafutie maradhi ya moyo kwa kumchukia the choosen one, ukisikia chaguo la Mungu ndip mtu kama Samia.

Hakugombea Urais ila Mungu amependezwa naye.
 
Daaaah,

Am speechless, Samia anatufurahisha sana Watanzania,

Haya mambo haya yanatutia moyo sana,
Mimi sio CCM ila napendezwa sana na Rais Samia,

Mwandishi leo naomba kukupongeza nakufuatilia nimeridhika wewe ni msaada kwa nchi, Haya tungeyajulia wapi?
 
Daaaah,

Am speechless, Samia anatufurahisha sana Watanzania,

Haya mambo haya yanatutia moyo sana,
Mimi sio CCM ila napendezwa sana na Rais Samia,

Mwandishi leo naomba kukupongeza nakufuatilia nimeridhika wewe ni msaada kwa nchi, Haya tungeyajulia wapi?
Kweli kabisa,huyu ndugu yetu,anatuhabarisha mengi sana.
 
Utaumia sana, JPM yupo kuzimu, Mama ndio habari ya mujini mpaka 2030 inshallah.

Usijitafutie maradhi ya moyo kwa kumchukia the choosen one, ukisikia chaguo la Mungu ndip mtu kama Samia.

Hakugombea Urais ila Mungu amependezwa naye.
 
Kwanini unateseka nchi yako kupata maendeleo,

Wewe unatokea nchi gani?

Hii miradi itamwajiri hata ndg yako kama sio wewe

Kama huna ndugu hata jirani yako ataajiriwa pia,

Why can't you positive to your country?
yaani mkuu kuna watu watakufa kwa chuki zao wenyewe hata ukiwauliza kwanini wankuwa na chuki kiasihicho hata wao wanaweza wakawa hawajui ni hurka tu za binaadam
 
Kwanini unateseka nchi yako kupata maendeleo,

Wewe unatokea nchi gani?

Hii miradi itamwajiri hata ndg yako kama sio wewe

Kama huna ndugu hata jirani yako ataajiriwa pia,

Why can't you positive to your country?
Hivi uchumi wa gesi uliishia wapi vile?? Watanzania siyo wajinga (By Mwendazake 2020)...
 
Katika hiyo miradi 90% wanafanya ahadi tu hakuna kitu , JPM katika michache iliyokuwepo ya kweli ilikuwa mingi.

wakati huu wa COVID pesa itoke wapi? Uongo mtupu, hao wawekezaji kwanza angalia ati Egypt , lo!
Unajua nini?!

Tanzania nchi ya ajabu sana,

Mtu anakuja CCM kisa mtu fulani yupo huko,

Siku huyo mtu asipokuwepo CCM anaanza kukipinga chama chake,

Huu ni Ushamba uliopitiliza,shame on you,

Mkt wa chama anafanya juhudi sisi CCM ndio tunakuwa wakwanza kumshika shati, Haipendezi,

Hiki chama ni chetu sote,

Kikianguka tutaanguka wote,

Why can't we see namna Mkt anapambana kuipaisha nchi na chama Chetu?

Basi Tuendelee kuiunga mkono CCM Kama Mama hatumtaki,


Samia is in another level tukubali tukatae na mpanga wa yote ni Mungu sisi ni nani tupingane na Mungu wetu?

Tuache ushamba, better You keep quiet kuliko kupotosha watu,
 
Back
Top Bottom