Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,647
2,000
Utaumia sana, JPM yupo kuzimu, Mama ndio habari ya mujini mpaka 2030 inshallah.

Usijitafutie maradhi ya moyo kwa kumchukia the choosen one, ukisikia chaguo la Mungu ndip mtu kama Samia.

Hakugombea Urais ila Mungu amependezwa naye.
Hilo hata mimi nimeliona. Cha kuchekesha ni kwamba die hard supporters wa Magufuli wanateseka sana wakiona Mama anafanya vizuri zaidi ya mtangulizi wake!
 

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,275
2,000
Toka niambiwe nchi imefika uchumi wa kati kumbe porojo,nimekua mgumu kuamini kiumbe chochote kinaitwa mwanasiasa na data zao za kupika toka wedibenki! Waswahili tuna kipimo chetu Cha kupima uchumi ambacho Huwa hakiongopi,mfuko wa shati! Je watoto wanaenda choo? Bati inahimilika? nk mengine mbwembwe tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
2,154
2,000
Toka niambiwe nchi imefika uchumi wa kati kumbe porojo,nimekua mgumu kuamini kiumbe chochote kinaitwa mwanasiasa na data zao za kupika toka wedibenki! Waswahili tuna kipimo chetu Cha kupima uchumi ambacho Huwa hakiongopi,mfuko wa shati! Je watoto wanaenda choo? Bati inahimilika? nk mengine mbwembwe tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app


Mkuu nchi yako inakwenda vizuri amini,

Tuendelee kufanya kazi kwa bidii
 

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
2,154
2,000
Hii hali ya kila mtawala kuwa na wajinga wake wanaomsifia inaondoa uhalisia wa mambo.
Kama taifa tulishapotea mahali. ingewekwa sheria ya kuzuia haya mambo ya kijinga
Tofautisha kusifia na kufafanua,

Sisi tunafafanua tu hapa,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
 

Mwanambee

Senior Member
Dec 26, 2015
151
250
Kwanini unateseka nchi yako kupata maendeleo,

Wewe unatokea nchi gani?

Hii miradi itamwajiri hata ndg yako kama sio wewe

Kama huna ndugu hata jirani yako ataajiriwa pia,

Why can't you positive to your country?
dah! hicho kimombo umeua anyway mimi naendelea kuwa mwanafunzi mzuri wa masomo ya muda kuna mengi nimeshaelewa na mengi naendelea kijifunza kwa sasa siwezi kusema miezi sita ya Raisi Mwenye jinsia ya kike ni bora kuliko miaka 6 ya Raisi Jiwe Kwelikweli kwa hizi ripoti za blah blah ambazo zinawasilishwa very technically kama usipokuwa makini kuzielewa utaicheza hii ngoma hadi ubwage manyanga
common sense hapa ni
kweli kunauwezekano wa kuwa kuna usajili wa miradi zaidi ya 130 yenye over 7 tr tsh katika kipindi hicho na hakuna cha kushangilia hapo kwa kumponda mtanguulizi jiulize mwekezaji gani anaweza akaamka ndani ya miezi sita akawa amshashawishika kuweka Billions of Doller sehemu!? seriously hii ni kama biashara ya kuuza karanga!! what am saying here ni kwamba hiyo miradi haijawa initiated ndani ya hiyo miezi sita na kuna mingine haiwezi kuwa implemented fully hata ndani ya miaka mitano kupima effectiveness yake

Raisi wetu mwenye Jinsia ya kike anafanya kazi yenye kulizisha kwa level yake
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,955
2,000
Nyerere naye alichunga ng'ombe na mbuzi naye vipi??!🤣
Tunamshukuru na kumstahi kwa kipindi kile ilibidi afanye vile ila Sasa naye zaidi ya propaganda na vitisho na kusaidia watu kwa kutumia rasilimali zetu bila faida yoyote kwa Nchi ndio kafanya nini hasa? Tunamshukuru kwa kuunganisha nchi kwa kiswahili.
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,955
2,000
Mkoa ulioko wewe. Kuna project gani inaendelea ambayo imeanza? Hizi zilizosimama 2017?
Projects ziko mingi Sana za Govt na private sector.

Nilishasema humu kwamba haiwezi pita siku 3 hujasikia uwekezaji mpya ..

Mama ana nyota kama yote kama hivi yaani 👇

Screenshot_20211004-215703.png


Screenshot_20211004-215512.png


Screenshot_20211004-215102.png


Screenshot_20211004-214937.png


Screenshot_20211004-200050.png


Screenshot_20211004-200129.png


Screenshot_20211004-144019.png


Screenshot_20211004-144034.png


Screenshot_20211004-161858.png


Screenshot_20211004-161948.png
 

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
1,951
2,000
Projects ziko mingi Sana za Govt na private sector.

Nilishasema humu kwamba haiwezi pita siku 3 hujasikia uwekezaji mpya ..

Mama ana nyota kama yote kama hivi yaani 👇

View attachment 1963013

View attachment 1963014

View attachment 1963015

View attachment 1963016

View attachment 1963017

View attachment 1963018

View attachment 1963019

View attachment 1963020

View attachment 1963021

View attachment 1963022

Kwahiyo haya ndio mafanikio ya awamu ya sasa? Homgereni sana. Lakini ukweli unajitenga na uongo. Kila kitu tukipe muda
 

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
1,951
2,000
Wewe unaona ni nini boss? Fine kwa kukubali kuwa mda utatoa majibu stahiki.
Naogopa kukimbilia kusema kila kitu kimekaa sawa. Ni mapema mno. Lazima kazi ifanyike kweli kweli ili haya yanayoonyesha dalili, yaweze kutokea.
Nimesema tuyape muda sababu kina sisi tuna tabia ya kulewa sifa na kusahau kazi. Ndio, tuyaoe haya yote muda.
 

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
3,757
2,000
Kwanini unateseka nchi yako kupata maendeleo,

Wewe unatokea nchi gani?

Hii miradi itamwajiri hata ndg yako kama sio wewe

Kama huna ndugu hata jirani yako ataajiriwa pia,

Why can't you be positive to your country Mkuu,!!
Wee malayaaa kisiasa kuwa makin na upuuz wako
 

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
3,757
2,000
Utaumia sana, JPM yupo kuzimu, Mama ndio habari ya mujini mpaka 2030 inshallah.

Usijitafutie maradhi ya moyo kwa kumchukia the choosen one, ukisikia chaguo la Mungu ndip mtu kama Samia.

Hakugombea Urais ila Mungu amependezwa naye.
Weee hii basi mwisho 2025 baada ya hapo tunaweka dereba mwingine kijana. Bi mkubwa atakuwa amekuwa Mzee sasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom