Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

Jesusie

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
689
500

Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho​

"Hakuna kama Samia "​

Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na mwezi Agosti 2021,ambayo ni karibu na TZS 7trilioni,

Ukisikia Mama anaupiga mwingi hii ndio maana halisi ya "kuupiga mwingi " sasa, Watanzania lazima tushukuru kumpata mchapakazi mwingine wa viwango vya juu zaidi,

Katika kipindi kama hicho FY2019|2020 Jumla ya miradi 105 yenye thamani ya US$510M ilisajiliwa amabyo ni sawa na karibu TZS 1.1trilioni ,

Ndani ya miezi sita ya kwanza ya Rais Samia na kutokana na Juhudi mbalimbali anazozifanya Rais wetu tayari tumeongeza uwekezaji kwa TZS 4trilioni ambazo ni sawa karibu na 400% ya uwekezaji uliofanywa FY2019|2020 yaani ni karibu mara sita zaidi,heko Rais Samia.

Wale Wote wenye mapenzi mema na Tanzania endeleeni kumwombea na kumshika mkono Mama huyu kwani kwahakika mwelekeo huu ni mzuri,Unatia moyo na unapunguza machungu ya kumpoteza jemedari wetu hodari Hayati Dk John John Pombe Magufuli,Mungu tembea na Tanzania yetu.

View attachment 1946749
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
KAZIIENDELEE
 
VUGU-VUGU

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
597
1,000
When the signing was done in February in Ngara, it was one of the last things JPM had seen. Hizi project sio za kisiasa kama kujenga madarasa kwa miezi mitatu. Watanzania lazima tujue tunataka na kufanya nini.
Mbona korosho zinadoda? Wale wamerekani walionunua zote inabidi tuwaambie kuna nyingine walisahau.
Daah
 
Jesusie

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
689
500

Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho​

"Hakuna kama Samia "​

Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na mwezi Agosti 2021,ambayo ni karibu na TZS 7trilioni,

Ukisikia Mama anaupiga mwingi hii ndio maana halisi ya "kuupiga mwingi " sasa, Watanzania lazima tushukuru kumpata mchapakazi mwingine wa viwango vya juu zaidi,

Katika kipindi kama hicho FY2019|2020 Jumla ya miradi 105 yenye thamani ya US$510M ilisajiliwa amabyo ni sawa na karibu TZS 1.1trilioni ,

Ndani ya miezi sita ya kwanza ya Rais Samia na kutokana na Juhudi mbalimbali anazozifanya Rais wetu tayari tumeongeza uwekezaji kwa TZS 4trilioni ambazo ni sawa karibu na 400% ya uwekezaji uliofanywa FY2019|2020 yaani ni karibu mara sita zaidi,heko Rais Samia.

Wale Wote wenye mapenzi mema na Tanzania endeleeni kumwombea na kumshika mkono Mama huyu kwani kwahakika mwelekeo huu ni mzuri,Unatia moyo na unapunguza machungu ya kumpoteza jemedari wetu hodari Hayati Dk John John Pombe Magufuli,Mungu tembea na Tanzania yetu.

View attachment 1946749
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Tanzania nakupenda sana nchi yangu
 
Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
1,103
2,000
Daaaah,

Am speechless, Samia anatufurahisha sana Watanzania,

Haya mambo haya yanatutia moyo sana,
Mimi sio CCM ila napendezwa sana na Rais Samia,

Mwandishi leo naomba kukupongeza nakufuatilia nimeridhika wewe ni msaada kwa nchi, Haya tungeyajulia wapi?
nakuelewaga sana mjomba
 
Almighty

JF-Expert Member
May 27, 2020
781
500
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom