Amazon Woman
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 762
- 1,121
Aisee pole sana...
Utakuwa ulilala na mapaka ya bar (wanawake wachafu/majinamizi ya talaka/machangu) bila kinga. Nenda kaonane na madaktari.Habari za leo ndugu zangu,
Ni miezi sita sasa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri na wakati mwingine ngozi inachubuka kabisa.. Kuna wakati pia eneo zima linakuwa na joto sana na maumivu kiasi.
Nimeshafika kwa wataalam kama mara tatu na kupatiwa dawa ambazo zinaonekana kutonisaidia.
View attachment 1639212
Hii ni dawa ya kwanza ambayo ni sindano nilizochomwa kwenye mishipa tano kwa siku tano wakisema kuwa ni fangasi itakuwa kwenye damu lakini haikusaidia
Nilienda hospitali nikapimwa kipimo cha VDRL na kukuta negative lakini nikapewa dawa hizi
View attachment 1639215
View attachment 1639216
Nimezitumia kwa wiki moja na nimemaliza dozi lakini bado tatizo liko pale pale na hali ni kama hii mnayoiona Samahani kwa picha hizi lakini lengo ni kupata msaada wa tatizo hili linaloninyima raha
View attachment 1639217
View attachment 1639218
Natumaini nitapata ushauri kutoka kwa wataalam ili niweze kutatua tatizo hili
Asanteni naomba kuwasilisha
Tatizo lako ni PUMBU JERO kwa wale tuliopitia boarding school wameelewa inasababishwa na uchafu pamoja na kubadilisha mazingira (Sehemu za baridi kuja zenye joto i.e. Mbeya kuja Dar).Pole sana hiyo ni Fungus tafutq dawa inaitwaa TERBINAFINE CREAM ITAKUSAIDIA SANA...!!
Polemkuu hapo naona umetumia dawa karibu zote. Itakuwa tatizo la scabies. Tafuta sabuni ya tetmosol utumie au tafuta lotion ya benzoyl benzoate(BBE) au chukua zote. Hazipiti 5000. Baada ya wiki utaona matokeo.Habari za leo ndugu zangu,
Ni miezi sita sasa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri na wakati mwingine ngozi inachubuka kabisa.. Kuna wakati pia eneo zima linakuwa na joto sana na maumivu kiasi.
Nimeshafika kwa wataalam kama mara tatu na kupatiwa dawa ambazo zinaonekana kutonisaidia.
View attachment 1639212
Hii ni dawa ya kwanza ambayo ni sindano nilizochomwa kwenye mishipa tano kwa siku tano wakisema kuwa ni fangasi itakuwa kwenye damu lakini haikusaidia
Nilienda hospitali nikapimwa kipimo cha VDRL na kukuta negative lakini nikapewa dawa hizi
View attachment 1639215
View attachment 1639216
Nimezitumia kwa wiki moja na nimemaliza dozi lakini bado tatizo liko pale pale na hali ni kama hii mnayoiona Samahani kwa picha hizi lakini lengo ni kupata msaada wa tatizo hili linaloninyima raha
View attachment 1639217
View attachment 1639218
Natumaini nitapata ushauri kutoka kwa wataalam ili niweze kutatua tatizo hili
Asanteni naomba kuwasilisha
Na ikiwezekana asivae boxer kabisa mpaka atakapopona.Wakati tunasubiria wataalam waje, usafi kwa sasa ni muhimu sana. Mie sio daktari ila kwa hiyo hali hakikisha kila ukioga unabadili boxer. Na ukizifua zikauke vizuri kwa jua au ukiweza nyosha pasi.
Nashauri hivyo ili isijeikawa unatumia dawa na kurudia nguo yenye vimelea au kusaidia ugonjwa uendelee kushambulia.
Narudia tena, pole sana Kaka.