Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,510
- 4,224
Nadhani JP Magufuli angestahili kuwepo hapo namba moja... ni vile tu alichelewa kuzaliwa!Kwa watanzania hakuna rais aliewahi kufanya mazuri
Lakini kama kutakuwepo na top six hadi sasa ya kwangu itakuwa hivi
1.Mwalimu JK. Nyerere
2.Daktari JP. Magufuli
3.Ally Hassani Mwinyi
4.benjamin William Mkapa
5.Samia Suluhu Hassan
6.Daktari JM Kikwete