Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Miezi 6 amedeliver kuliko Dhalimu wenu 👇Tumpe muda huyo bibi umsemae.
Miezi 6 amedeliver kuliko Dhalimu wenu 👇Tumpe muda huyo bibi umsemae.
Jizi lile sema maccm huwa yanalindana.Hata hujui umeandika nini yaani 1.5B ni sawa tu Na million elfu moja Na Mia tano tu! Inaonekana Shule kwako ilikuwa shidah ndo mana JPM akasema elimu bure kwa watu aina yako
Tujipe miaka/miezi michache tuanze tena kulia lia tukiomba rais kama JPM. Tatizo watu wana ubinafsi na tamaa sana bila kujua lazima kila reformation ije na maumivu makubwa na inabidi kuvumilia kwa ajili ya vizazi vijavyo. Huwezi kupata mtu kamilifu lakini unaweza pata someone who will get the job done. Afrika imekua in vicious circle kwa miaka mingi na marais sampuli za JPM ndo walihitajika kuturudisha kwenye ramani ya dunia, wengine ni vibaraka tu walio wavivu na wenye udhaifu wa fikra
Mungu mwenyewe hajawahi kuleta Nabii wakike. Kuongozwa na mwanamke ni laanaAcha kufuru,magu alikuwa dubwasha moja hatari sana kuendelea kuishi dunianj Mungu fundi
Hata jogoo huwa kiongozi bora kwa kuku wenzeke. Hakuna upuuzi wenye upuuzi mtupu. Hili bibi zigo la mavi lakini kwa nyie ni mboleaKufa umfuate dikteta/ Samia ni Rais bora kwa Africa,wafanyakazi wamepanda madaraja, askari pia wamepanda vyeo ambavyo walistahili muda kupandishwa
Sikupingi. Japo nahisi ye aliongoza nchi kwa siku 100 tu huku kwingine ana rimotiwa tuTumpe muda huyo bibi umsemae.
hahahahahahaHata hujui umeandika nini yaani 1.5B ni sawa tu Na million elfu moja Na Mia tano tu! Inaonekana Shule kwako ilikuwa shidah ndo mana JPM akasema elimu bure kwa watu aina yako
Na mabaya piaKILA MWANADAMU NA MAPUNGUFU YAKE ..
AMEFANYA MAZURI MENGI SANA , TUNASHUKURU KWA MAISHA YAKE.
NB* KWENYE KILA SITUATION TUJIFUNZE KUONA JAMBO JEMA.
EXACTLY .../Na mabaya pia
Tujipe miaka/miezi michache tuanze tena kulia lia tukiomba rais kama JPM. Tatizo watu wana ubinafsi na tamaa sana bila kujua lazima kila reformation ije na maumivu makubwa na inabidi kuvumilia kwa ajili ya vizazi vijavyo. Huwezi kupata mtu kamilifu lakini unaweza pata someone who will get the job done. Afrika imekua in vicious circle kwa miaka mingi na marais sampuli za JPM ndo walihitajika kuturudisha kwenye ramani ya dunia, wengine ni vibaraka tu walio wavivu na wenye udhaifu wa fikra
KATIBA MPYA NDIYO SULUHU YA MAOVU YOTE NA ULIMBUKENI WA BAADHI YA VIONGOZI WALIOJIMILIKISHA HII NCHI....Katiba mpya ndio suluhu ya mwisho na ya uhakika.
1.5 THivi zile 1.5B kwenye repoti ya Pro Assad zilienda wapi?
😂😂🤣👊Magufuli alikua na mazuri na madhaifu mengi lakini huyu tuliepata ni kimeo full stop.
Mungu mwenyewe hajawahi kuleta Nabii wakike. Kuongozwa na mwanamke ni laana
Soma bible ujue debora alikuwa naniMungu mwenyewe hajawahi kuleta Nabii wakike. Kuongozwa na mwanamke ni laana
Ben Saa Nane sijui Azory na hizo takataka zingine zimejenga hospital vijijini watu wakapata huduma bora za afya? Au SGR watu wengi hususan maskini wakapata usafiri wa uhakika? Kama hapana basi wafufuliwe alafu wauwawe tena! Ajenda za kijinga kabisa hizi zinakuzwa na wasio na akiliWewe Leslie Mbena bado upo?! Umesahau pia kuzungumzia watu wasiojulikana wakati wa Magufuli! Zungumzia utajiri na uporaji wa Paulo Makonda wakati wa Magufuli! Vipi kuhusu vifo vya Ben Saa nane, Azory Gwanda, Leopold Lwajabe n.k.
Magufulia acha kumpampu tatizo lake lilikuwa kwenye lugha (kimalkia)ndo maana hakusafiri nje!! Mengine ni kujipendekeza tu!