Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

stephen4440

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
1,221
2,000
Kwa watanzania hakuna rais aliewahi kufanya mazuri

Lakini kama kutakuwepo na top six hadi sasa ya kwangu itakuwa hivi

1.Mwalimu JK. Nyerere
2.Daktari JP. Magufuli
3.Ally Hassani Mwinyi
4.benjamin William Mkapa
5.Samia Suluhu Hassan
6.Daktari JM Kikwete
Nadhani JP Magufuli angestahili kuwepo hapo namba moja... ni vile tu alichelewa kuzaliwa!
 

dahalani

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
2,816
2,000
Ben Saa Nane sijui Azory na hizo takataka zingine zimejenga hospital vijijini watu wakapata huduma bora za afya? Au SGR watu wengi hususan maskini wakapata usafiri wa uhakika? Kama hapana basi wafufuliwe alafu wauwawe tena! Ajenda za kijinga kabisa hizi zinakuzwa na wasio na akili
takataka ni yule mzazi aliekuleta duniani
 

Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,422
2,000
Umechambua vizuri Sana,bila kusahau hakuna rais aliyeteua na kuwaamini wasomi Kama Jiwe.

Alipunguza mshahara wako upate kuwasaidia watu wanyonge.

Mtemi Hangaya kamaliza ubishi wote kasema wazi viatu vya JPM vinapwaya maana alikuwa kiongozi shupavu.
UN nao wakatusaidia kwa kumuenzi kwa Mambo aliyolitendea taifa lake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom