Miezi mitatu au sita ijayo itakuwa ni aibu kumsifia Jamaa kama ilivyo sasa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,860
Kadri siku zinavyokwenda,matukio yanazidi kumuumbua Jamaa na kumfanya aonekane ni msanii tu na hana tofauti yoyote na wenzake.

Matukio anayoyatumia kutuaminisha ni mzalendo yamejaa doublestandard na hivi sasa watu wameanza kuyazoea na zaidi kuyapuuza na yanaonekana ni ya kinafiki tu kwani mengine anajifanya hayaoni kisa tu yanaonekana kugusa watu fulani fuani.

Nimalizie kwa kusema tu,tukio moja kubwa, la fedheha na la kutia aibu liliotokea juzi ambalo najua hawezi kuligusa ndio litawafanya watu wamuweke kushoto.
 
Wananchi wa kawaida tunaanza kupata ahueni ya maisha ndani ya siku chache tu, mtungi wa gesi umeshuka bei na tanesco mwezi ujao wanashusha bei ya umeme! Utasubiri mpaka messiah arudi, jamaa ndo kwanza anawapukutisha kadri siku zinavyosonga mbele!
Haya ndo mabadiliko tuliotaka.
 
Mtoa maada pole sana,nyie ndo Plisner au UKAWA.Sisi huku mtaani maisha yameanza kubadilika,nilienda jana wilayani nilihudumiwa km mfalme.Magufuli juu....Nitakata mtu kichwa akisema Magufuli ni Mkenya ila akisema CCM ni ya KENYA faster nitachangia nauli ya kuisafirisha.
Plisner,kuweni wapole maana mabosi wenu kila siku wapo kanisani wanahubiri siasa.Ole wao siku hiyo yesu awakute...watakipata cga moto.maana Bw.Yesu naye hana ajizi,huwa anatembeza kichapo pia pale akikuta hekalu la bwana linatumika ndivyo sivyo.
 
Zile mbio za Mkapa na Jk ikulu ndio zimemsafisha jamaa Sefue
 
Ngoja na mambo ya mjengoni yaanze muone atakavyosutwa kwa mengi.

Nilifikiri bungeni kwa kujenga hoja zenye mantiki kwa Taifa hata kama za kumkosoa Magufuli.

Kumbe wenzetu mmegeuza kwa kusutana!?
 
Back
Top Bottom