Miezi mitano bila Dkt. Magufuli: Chanjo ya Marekani na Uingereza inavyoathiri soko la Tanzania

China hivi sasa wanakuweka karantini miezi mitatu,ukifika hotelini unapelekwa hotelini hadi miezi mitatu iishe ndio unaingia mtaani kununua bidhaa.
 
China wanabadili game kwenye vita ya kiuchumi,wanazima Umeme viwandani,wanasema kila Kiwanda kiwashe mitambo mara moja kwa wiki,maana bidhaa zinazotengenezwa zinanunuliwa kwa dollar,China wanataka bidhaa zao zinunuliwe kwa hela ya China,Chinese Yuan Renminbi, haiwezekani bidhaa atengeneze yeye China halafu bei apange Marekani
 
Back
Top Bottom