Miezi 9 iliyopita tuliambiwa Dr Dau aliacha Mfupa NSSF, sasa hivi ina Trilioni 7!!

AbasMzeEgyptian

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
407
312
Screen Shot 2016-12-22 at 22.13.06.png
Screen Shot 2016-12-22 at 22.12.35.png

Magazeti haya haya yalisema NSSF imefilisika na kwamba Mkurugenzi Mkuu mpya kaachiwa fupa

Ina maana kuondoka kwa Dr Dau NSSF miezi 9 ndio mafanikio makubwa Kiasi hiki? Kutoka kuwa Fupa Hadi kuwa Imara kifedha na balance ya TRILLION 7 Kwa mpaka 2085?

Kwa miradi gani mpya iliyoanzishwa na yenye tija kiasi hicho?

Maana huyu Mkurugenzi mpya amesimamisha miradi yote na akalalamika miezi 3 iliyopita alisema hakuna mradi mbaya, wa hovyo na usio na manufaa kwa taifa na wenye kutia hasara kama Daraja la Kigamboni ambalo ni mmoja ya legacy kubwa ya Dr Dau

lakini wiki iliyopita kabadilika na kanukuliwa akisifia kuwa Daraja Kigamboni lina print pesa kuliko BOT na ni mradi bora zaidi kuliko miradi yote iliyofanywa na pension funds za nchi hii

Mwenyezi Mungu Ni Mjuzi
 
Wengi awamu hii akiwemo Faru John walijaribu kuonyesha kwamba awamu tangulizi ilikuwa failure unfortunately walishindwa fahamu kwamba data na takwimu ndio zinazobainisha uongo na ukweli.

Strategically Dau hakupaswa kuwa balozi(ingawa una hadhi kuliko ukurugenzi wa NSSF) alipaswa kuwekwa sehem critical kama wizara ya madini na nishati(possibly kuwa waziri kumuepusha na siasa za ubosi) soon tungeona faida ya madini.
 
nice
 
hv mleta mada una viroba kichwani? kanywe ama kaoge maji ya baridi ili vipungue.

hiyo tril 7 ni projection ya mapato kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii ifikapo 2085. sasa hadi kufikia 2085 ni miez 9 hiyo?

halafu acha kabisa ulevi wa kidini, ww ni mdini sana. dr dau ni fisadi, ova!
 
Wengi awamu hii akiwemo Faru John walijaribu kuonyesha kwamba awamu tangulizi ilikuwa failure unfortunately walishindwa fahamu kwamba data na takwimu ndio zinazobainisha uongo na ukweli.

Strategically Dau hakupaswa kuwa balozi(ingawa una hadhi kuliko ukurugenzi wa NSSF) alipaswa kuwekwa sehem critical kama wizara ya madini na nishati(possibly kuwa waziri kumuepusha na siasa za ubosi) soon tungeona faida ya madini.
Yeuwii
 
Back
Top Bottom