Miezi 8 bila Hayati Magufuli; Alikuwa alama, utambulisho, kielelezo na mwakilishi wa Watanzania

Unapoteza mda wako tu
Siyo kweli, ametumia muda wake vizuri kutukumbusha shujaa na mzalendo wa kweli wa Tanzania. JPM ameenda lakini kazi zake zimebaki na hakuna wa kuzifuta. Misimamo yake mioyoni mwa watanzania itadumu milele. Kwa mfano hofu bandia ya corona huwezi kuipandikiza kwa mtanzania milele. Waliojaribu wameshindwa kwa aibu na fedheha!!
 
Wamekufa Mitume wa Mwenyezi Mungu na ndiyo vipenzi wa Mwenyezi Mungu, sembuse nyerere na magufuli!!!!

Mnakufuru sana
Embu wataje kwa majina hao mitume?

Na ukimtaja mmoja tu, hiyo inadhihirisha kwamba, hata duniani kuna watu hufa ila Majina yao hubaki huku wakibebwa na waliyowahi kufanya!

Jitahidi na wewe uwe miongoni mwa hawa wanaokufa na kuacha wakiandikwa kila kona we pimbi
 
Jitahidi na wewe uwe miongoni mwa hawa wanaokufa na kuacha wakiandikwa kila kona we pimbi

Unakumbukwa kwa mazuri na co mabaya, utamkumbukaje mtu alieuwa watu n.k!!! Japo kuna mazuri magu alifanya lakini kuna mabaya ambayo hayafai kuigwa.

Halaf unasema nijitaidi niwe miongoni mwa hao viongozi wanaokufa na kuacha wakiandikwa kila kona 😂😂niache kutamani kuwa miongoni mwa watu wema watakaoingia peponi!!!!!

Hebu fanya research kama utapata unyanyasaji au mauwaji chini ya viongozi hawa.

1 mwinyi
2 kikwete
3 mama samia
 
Wewe mpuuzi, babu yako alikufa kwa sababu ya kunyonga watu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom