Miezi 7 bila Dkt. Magufuli; Noti mpya iliyopakwa Dhahabu, Almasi, Tanzanite ingeileta Tanzania mpya katika uso wa dunia

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
948
2,857
MIEZI SABA BILA JPM;NOTI MPYA ILIYOPAKWA DHAHABU,ALMASI, TANZANITE INGEILETA TANZANIA MPYA KATIKA USO WA DUNIA.

Leo 10:15hrs 17/10/2021

Nianze na maswali matatu yatakayotuongoza katika kujiuliza kama tunaweza kutengeneza pesa yetu na thamani yake ikapimwa kwa dhahabu,Almasi au Tanzanite inayopakwa katika noti au Sarafu hiyo!!?

1.Je thamani ya fedha yetu nani atakuwa anaicontrol kulinganisha na fedha za wenzetu kwani tunaweza kuwa tunaprint tuu mifedha mfano Zimbabwe kuna mpaka noti ya laki moja,lakini pia tujiulize Marekani inashindwa kuprint tu minoti na ikaenda kununua bidhaa zote nchini China kwa kutumia dollar inayotengeneza,na tufahamu kila uagizapo mzigo China lazima uagize kwa kutuma transfer ya hela ikiwa kwenye dollar.

2.Je tuna technology ya kutengeneza fedha zetu ili watu wasiweze kucopy na kutengeneza zao na kuziingiza kwenye mzunguko,Je tunayo Dhahabu,Almasi na Tanzanite ya kutosha kuchapisha noti hizo!?

3.Masuala ya kifedha duniani yanakuwa controlled na IMF na World Bank lakini kuna nchi hazipo kwenye mfumo wa IMF mfano Iran na China tatizo lake linakuja pale unapotaka kufanya international transaction kwani bank zako zinakuwa hazipo kwenye mifumo ya kibenk zingine mfano ilifikia kipindi ukitaka biashara Iran itakulazimu uende na fedha kwani bank zao zilikuwa hazipo katika mfumo wa mabanki mengine so huwezi kufanya wire transaction na kwa China kufanya wire transaction lazima utumie dollar,ambapo sasa Mchina kashtuka anataka bidhaa zake zinunuliwe kwa yuan, hela ya China.

Kila nchi ina kitu kinaitwa money policy act MPA huu ndo mwongozo wa central bank zote duniani ikiongozwa na WB mfumo huu ndo unawaongoza katika ku supply and monitoring currency so kuhusu ni kiasi gani wanachapisha inategemea na mahitaji ya nchi husika kuna msemo wa kibiashara unasema ukitaka kukipandisha kitu thamani kifanye kuwa adimu pia ukitaka kukishusha kitu thamani basi kifanye kipatikane kwa wepesi so chaguo ni lako kuchapisha tuuuuu au kuchapisha pale inapohitajika,Je kipimo kingekuwa Dhahabu,Almasi au Tanzanite watu wangekuwa wanachapisha tu na kuprint tuuu!? Kwa nini Wazungu wameondoa Dhahabu,Almasi na Tanzanite isiwe kipimo cha uthamani kwenye noti au sarafu!!?

-Kipimo cha Utajiri ni Dhahabu,Almasi na Tanzanite,kwanini kipimo iko kimewekwa kando na sasa tunapimwa kwa makaratasi!?

Pesa ni karatasi tu zilizoprintiwa,unalipa kama unavyoenda kulipa kuprintiwa au photocopy!bei ipo,copy kadhaa shilingi kadhaa,malipo yao ni kwa dola kwa vile ni zabuni ya kimataifa!!!mfano tuchukue mkate gharama ya kutengenezewa mkate haiwezi kuwa na thamani sawa na mkate uliotengenezwa,mfano ukitaka mtu akutengenezee mikate 100,ujira wa kutengenezewa mikate 100 unadhani ni kumpa mikate 100??jibu ni hapana,hivyo labda ukitengenezewa mikate 100 labda ungempa mikate 8!!!hivyo hata kwenye pesa kuna uwiano wa namna hiyo,labda mnaweza kutoa oda ya kutengenezewa noti za 10,000 za thamani ya billioni moja mkawalipa ujira wa sh millioni 100(malipo kwa dola ya thamani hiyo).

- Baada ya Pesa kutengenezwa,nani ataicontrol pesa hiyo?
Kwa wenzetu yani federal reserve bank and bank of England pia na bank of Canada hawa ndo wanacontrol karibu institutions zote za fedha ikiwamo WB na IMF so ni kama money policy act wanazidhibiti wao,Lakini thamani ya fedha hawapangi wao kama ingekuwa hvyo basi dollar ndo ingekuwa na thamani kuliko pesa zote lakini kuna fedha za nchi zingine zimeizidi thamani US Dollar mfano Swiss fanc,Pound na Dinar ya Oman,pia wenzetu wana mfumo mzuri mfano marekani kiwanda cha kutengeneza fedha cha fort Worth cha TX na cha Washington cha tour and visitor centre kwa pamoja vinauwezo wa kutengeneza kiasi cha dollar million 28 par hour na pia wameweka expire date ya hela yao ili kuweza kujua ni kiasi gani cha fedha kipo katika mzunguko duniani na pia kudhibiti mijitu inayoficha hela kwenye masandarusi na ndoo sababu ikifika mda fedha inaexpire so ikiexpire mkononi mwako itakuwa ni taratasi tu sababu huwezi kufanya manunuzi yeyote popote pale kwani itakuwa imeondolewa kwenye mzunguko nadhani ni miaka 10 wao hawasubiri mpaka hela ichanike au kuchakaa kama tunavyofanya sisi huku bongo.

- Dhahabu,Almasi, Tanzanite kwenye noti ingeondoa fedha bandia
Hata majangili wanatengeneza fedha na kujaribu kuziingiza kwenye mzunguko hata Marekani mpaka Leo wanapambana na kuzuia fedha bandia kuingizwa katika mzunguko wao kwa sababu pesa ni makaratasi tu yanayochapishwa, kazi nyingine ya kikosi cha secret service si kumlinda Rais wa Marekani peke yake pia na kuhakikisha Federal reserved system FRS ya Marekani inakuwa safe and secure secret service walishawahi kukamata mabilioni ya fedha bandia katika godown huko Colombia,

Kampuni zinazotengeneza pesa zinakuwa controlled by the government pia kila kampuni inakuwa na material ya utengenezaji wa zile karatasi inakuwa ni top secret au classified kwa kampuni husika na ndo kitu kinachofanya kampuni kupewa tenda kwani isingekuwa hivyo kumbuka kuwa kuna watu wanatengeneza fedha bandia,maangaiko yote haya ni kwa sababu tumeshindwa kumdhibiti jangili mtengeneza fedha bandia,lakini dhahabu,Almasi na Tanzanite ingekuwa muarobaini wa Fedha bandia, kwa hiyo tunatakiwa kujua kinacholindwa si fedha bali makaratasi ya kutengeneza fedha ndiyo yanalindwa utadhani makaratasi hayo ni dhahabu,Almasi au Tanzanite!!?

-Kushusha au kuipandisha pesa thamani
Kuna njia nyingi za kuamua kushusha au kupandisha thamani ya fedha na pia zipo mpaka njia za kimafia kwenye black Market za kupandisha au kuishusha pesa thamani kama nilivyo sema hapo mwanzo kuwa ukitaka kukipandisha kitu thamani kifanye kuwa adimu pia ukitaka kukishusha kitu thamani basi kifanye kipatikane kwa wepesi na pia thamani ya kitu chochote uamuliwa na nguvu ya soko, ku print print fedha bila ya sababu za msingi ni kubaya na pia kunachangia kushuka kwa thamani ya fedha,hii formula ya kiuchumi tuliyokaririshwa na mzungu,lakini tungetumia Dhahabu,Almasi na Tanzanite kusingekuwa na ujinga wa kuprint print fedha nyingi,mwenye dhahabu, Almasi au Tanzanite angeprint kwa kutumia dhahabu, Almasi au Tanzanite maana ndio Utajiri aliobarikiwa nao.

Leo tunaambiwa tukiprint tuu fedha mzunguko wa fedha utakuwa mkubwa so kutapelekea mfumuko wa bei (differentials in inflation) ndivyo tulivyojifunza kuwa thamani ya fedha uamuliwa na nguvu ya soko so wafanyabishara watapandisha vitu bei na wananchi mtaona poa tu kwa sababu mnazo fedha mifukoni ebu fikiria Leo unanunua unga kilo shilingi elfu tano au sukari kilo shilingi elfu kuki, Hivi hapo kunahitaji degree kujua fedha yetu imeshuka thamani!? Lakini Mimi napingana na hii,Mimi naamini Marekani inaendelea kuwa tajiri kwa sababu inaweza kutengeneza pesa zake yenyewe kwa kuprint,kama Dhahabu,Almasi na Tanzanite ingekuwa inapakwa kwenye fedha hizo zinazoprintiwa,naamini kama Marekani ingekuwa Nchi tajiri duniani basi,nchi ya pili tajiri duniani ingekuwa Tanzania kwa sababu ndipo inapotoka hiyo Dhahabu,Almasi na Tanzanite pengine tungezidiwa teknolojia ya kutengeneza na kuzilemba pesa hizo.

Nimalizie kwa kumuenzi Daktari John Pombe Magufuli,Rais John Pombe Magufuli aliwahi kusema atachapa Fedha mpya maana fedha nyingi za Serikali zilikuwa zimezagaa mtaani,kama angelikuwepo Rais mwingine mwenye kuwaza hivyo basi wangepeleka agenda hiyo kwenye uso wa dunia na wangeweza kueleza ni namna gani wangeweza kuitengeneza fedha yao.

-Mfumo wa dunia ukawa kikwazo kilichokwamisha kuchapishwa Fedha mpya.

Kazi kubwa ya Central banks au federal reserved banks zozote duniani ni supply and monitoring currency pia kuna kitu kinachowaongoza ni monetary policy act pia kusimamia bank zingine ambazo zipo chini yake katika masuala ya mikopo na viwango vya riba vinavyo tozwa na bank hizo

Pia kudhibiti mfumuko wa bei (differentials in inflation) adui mkubwa katika kushusha thamani ya fedha pia central bank ndo inahusika katika ku print fedha pale panapotokea mahitaji hayo mfano kunafedha ambazo zinatoka kwenye mzunguko kwa kuchakaa au kuchanika kwa hiyo automatically zinakuwa zimetoka kwenye mzunguko zitahitajika zingine ku replace zile zilizotoka kwenye mzunguko.

The topic is one of the great idea that Dkt Magufuli could have had before passing away,He was a Great thinker,refer to the thought he gave from Chato Village,He challenged the whites of having Hiv Aids and Malaria vaccination which have been in trials since 1988,The simplicity of his Legacy and moral African giant in him, is the one thing that remains an enigma to me and many in this generation and in the generation to come,inspite of being the most educated President,he always roots for the little guy,He abhors hierarchy and disdains flamboyance,he’s ruthlessly self-critical. He always puts himself last,in one sentence, Daktari John Pombe Magufuli is a rare breed.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effects of micro-financing on Poverty Reduction.
 
Wasukuma bhana na magufuli wao sijui aliwapa nini, hamna kitu pale, aliyemtuma kupora watu yuko kisongo, halafu we unaleta usukuma wenu hapa
 
Wasukuma bhana na magufuli wao sijui aliwapa nini, hamna kitu pale, aliyemtuma kupora watu yuko kisongo, halafu we unaleta usukuma wenu hapa
Kwani nyie WACHAGA MNA shida gani yani mtu hata kama ni mfipa ila akimtaja Magufuli ni kosa naye pia Msukuma acheni ujinga nyinyi wauaji na walevi
 
Kwani nyie WACHAGA MNA shida gani yani mtu hata kama ni mfipa ila akimtaja Magufuli ni kosa naye pia Msukuma acheni ujinga nyinyi wauaji na walevi
acha uongo mkuu, hakuna mfipa mwenye akili timamu anayeweza mshangilia shujaa wa kisukuma wewe.
 
acha uongo mkuu, hakuna mfipa mwenye akili timamu anayeweza mshangilia shujaa wa kisukuma wewe.
Mimi sio msukuma lkn namshamgilia Magufuli. Unataka kusema yale maelfu yaliyojaa uwanja wa Taifa na barabarani ni wasukuma?
 
Kwani nyie WACHAGA MNA shida gani yani mtu hata kama ni mfipa ila akimtaja Magufuli ni kosa naye pia Msukuma acheni ujinga nyinyi wauaji na walevi
Na nyie Wanyalugusu hata kama mtu ni Mkwere ni kwanini akiwataja Wasukuma inaonekana kuwa ni kosa kwanini?

Acheni ujinga ninyi walevi na wala mbwa!
 
Jamaa upo deep hatari.!

Hivi pesa mpya ikishaa chapishw inaingiaje kwenye mzunguko!?
 
asante kwa article nzuri. Wakubwa hawataki kipimo cha dhahabu, Tanzanite wala Almasi, maana kinavuruga biashara zao. Hata hivyo nauliza, ni nani alishusha thamani ya hela yetu?
 
Back
Top Bottom