Miezi 6 baada ya kuacha michepuko wife analalamika ufanisi umepungua

Kwanini ujitese kwann utafute jibu kwa swali lenye jibu mwone daudi mfalme alioa wanawake kibao mtazame Sulemani mwana wa daudi alikuwa na wake ngooo alafu hao wote Mungu walikuwa nao jilani kuliko ww ambae Mungu unamtafuta kwa tochi na mpaka utakufa hujui kama yupo au utamwona

Mtoa mada ngoja nikupe siri hapo sasa unaenda kuumia vibaya niamin broo kama wife kaanza kukuchana tungoje hatua ya pili utalia na kusaga meno na kujiona fwala

Wah kabla mambo hayajaharibika

Nikuibie siri ukiwa angalia karibia wanaume wenye mafanikio wote kwa ndani wana tabia za kihuni
Sasa we jifanye eti naokoa gharama za kutunzia watoto utajikuta umejiingiza kwenye ulevi mbaya na kutafutia huyo mkeo gunia la mkaa shaur yako life ndio hili hili tumia kondom
 
Mimi ni kijana niliekamika sina shida yoyote kiafya na pia ni mtu wa mazoezi.
Kiukweli miezi 6 nyuma nilikua ni mtu wa aina nyingine kabisa, baada ya kukaa na kutafakari kwa kina kuhusu mustakbali wa maisha yangu na familia yangu, niliona nnapoelekea siko, isitoshe nina mke mzuri tu anaetimiza wajibu wake ipasavyo.
Hapo nyuma nilikua naendekeza sana papuchi, yaani nilikua kama vile ni kijina anaenza kubalehe kwa kutongoza kila mwanamke anae nivutia na mbaya zaidi sasa hivi wanawake wengi hawajui kukataa, nilikua addicted kiasi kwamba kwa wiki nnaweza kugonga hata wanawake 5 tofauti, kutokana na kazi ninayofanya hua muda mwingi nakua free inafikia kipindi kwa siku moja nnaweza kugonga wanawake wawili tofauti halafu nikirudi nyumbani usiku napiga mechi ya maana.
Tokea nilivyoamua kuacha hayo mambo kiukweli kabisa upande wangu naona upendo wangu kwa wife umeongezeka saaaana.
Ila changamoto siku hizi nashindwa kupiga zile mechi kama za kipindi cha nyuma, nikijitahidi sana ndani ya dakika 30 nimeshafunga kazi na sina hamu ya kuendelea, wakati kipindi cha nyuma nilikua nakimbiza vibaya mno.
Juzi wife alikua ananung'unika kua siku hizi ufanisi umepungua anawasiwasi huenda nina tatizo kiafya au tayari amepata mwenzake wa kumsaidia.
Kiukweli mwanzo nilikua nachukulia poa tu ila baada ya haya malalamiko nimeanza kujisikia vibaya na kurudi nilipotoka sitaki tena maana ule ni zaidi ya utumwa.
Hapa nawaza sijui nifanye kitu gani ili kile kiwango cha kipindi kile kirudi?

Ukitembea Na mwanamke nje Mchana, ukiamla vi 2, ukirudi home Kwa wife sababu una m feel hisia hupanda.

Hisia zikipanda Kwa sababu ushapig vi 2 Mchana, Manii haziwezi kuja haraka.

Cha kufanya: weekend mle kimasihara Mchana, yani hata mmesimama etc, masihara. Then usiku mle serious.
 
Kwanini ujitese kwann utafute jibu kwa swali lenye jibu mwone daudi mfalme alioa wanawake kibao mtazame Sulemani mwana wa daudi alikuwa na wake ngooo alafu hao wote Mungu walikuwa nao jilani kuliko ww ambae Mungu unamtafuta kwa tochi na mpaka utakufa hujui kama yupo au utamwona

Mtoa mada ngoja nikupe siri hapo sasa unaenda kuumia vibaya niamin broo kama wife kaanza kukuchana tungoje hatua ya pili utalia na kusaga meno na kujiona fwala

Wah kabla mambo hayajaharibika

Nikuibie siri ukiwa angalia karibia wanaume wenye mafanikio wote kwa ndani wana tabia za kihuni
Sasa we jifanye eti naokoa gharama za kutunzia watoto utajikuta umejiingiza kwenye ulevi mbaya na kutafutia huyo mkeo gunia la mkaa shaur yako life ndio hili hili tumia kondom
Mkuu una mke na watoto?
 
Back
Top Bottom