Miezi 4 bila Hayati Magufuli: Kwanini Magufuli aliweza kuijenga nchi bila tozo ya mshikamano?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
933
2,810
MIEZI 4 BILA JPM:KWA NINI RAIS MAGUFULI ALIWEZA KUIJENGA NCHI BILA TOZO YA MSHIKAMANO!?

Leo 12:50hrs 18/07/2021

Mwana wa kweli wa Afrika, Son of the soil, Hayati Rais Dr. John Pombe Magufuli,ndani ya miaka mitano aliifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati bila tozo ya mshikamano akifanya hivyo kabla ya miaka kumi aliyowekewa kuifikisha nchi ya Tanzania kwenye uchumi wa kati, alifanya hivyo bila tozo ya mshikamano na naamini hata sasa angekuwepo kila mradi ungekwenda bala bala bila tozo ya mshikamano huku kila siku akiizindua miradi mbalimbali bila tozo ya mshikamano, hii ni wake up call kwa Chama changu cha Mapinduzi,Wanyonge! Wanyonge! Wanyonge si watu wa kucheza nao,if you tamper with the less privileged people "Wanyonge" you will lose their votes 2025.

Hivi leo Elimu bure aliyoileta Rais Magufuli imetufanya watoto wa maskini, sisi wanyonge tuwe hapa tunajibizana na watunga sera walioleta tozo ya Mshikamano, kama si Rais Magufuli tungekuwa mbugani tunachunga ng'ombe au kijijini tunalina asali na kuogelea mtoni kuvua ngadu, Chama changu cha CCM tuangalieni sisi wanyonge, machozi yetu wanyonge watunga sera hamtabaki salama,Leo nakumkumbuka Rais Magufuli kwa kufikisha umeme kijijini kwetu Matombo,Tawa mwaka 2017,kijiji chetu cha Matombo ndio njia ya kuelekea kisaki kwenye mbuga ya Selous Game Reserve ambayo Rais Magufuli aliifanya mbuga rasmi na kuiita Mbuga ya Selous na kuanzisha bwawa kubwa la kuzalisha Umeme la Julius Nyerere.

Bwawa la Rufiji kwa kumuenzi Mwalimu Julius Nyerere, Rais John Magufuli aliliita bwawa la Umeme la Rufiji kuwa Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere ambalo lilishindikana kuanzishwa toka mwaka sabini Mwalimu Julius Nyerere alipotoa wazo la kuanzishwa kwa Bwawa hilo, lakini Rais Magufuli alianza Ujenzi na akasema iwe mvua iwe jua litajengwa na kuisha, kumbuka aliamua kufanya hivyo bila tozo ya mshikamano,lakini nifurahie Umeme kule kijijini Matombo, kibunduga ambapo hatukuwa na umeme tangu uhuru lakini Rais Magufuli alituletea Umeme bila tozo ya mshikamano. Sasa hivi nikienda kwa bibi eti panawaka taa kama mjini.

Rais Magufuli alifanikiwa kwa kuwa ukwepaji kodi ulipungua kwa kasi sana na janja janja zote za kukwepa zilitiwa kapuni. Aliinyoosha sana
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambayo kimsingi ilikuwa imeoza na kufifia kiutendaji,Kwa hili nampa big up maana huu ndiyo umekuwa msingi wa sasa wa Taifa la Tanzania kutamba lakini kuna watu wameanza kuturudisha nyuma wakituambia nchi yetu ni masikini licha ya rasilimali zote lakini tunaambiwa tuchangie tozo ya mshikamano tuijenge nchi,ndugu zangu tuna dhahabu,tuna almasi,tuna Tanzanite,tuna gas,tuna mbuga za wanyama,tuna Mlima Kilimanjaro ambao ni mlima mrefu kuliko yote barani Africa,

Tuna bandari ila eti mafuta yamepanda Dar ambapo bandari ipo ila Zambia kms zaidi ya 1000 kununua lita moja ya petrol ni sh 1800 za kitanzania wakati pale kurasini nje tu ya ukuta wa bandari kituo (0-1km) Mtanzania ananunua mafuta 2500!! nini manufaa ya bandari kwa Mtanzania ni yapi? kama kodi ni muhimu kwanini wabunge nao wasilipe kodi? Hao ni raia exceptional katika nchi hii? Unaadhani kwanini hakuna usawa huo na kwa nini tajiri aachiwe kwa ufisadi alioufanya halafu ianzishwe tozo ya mshikamano na mnyonge akatwe 5,000!!!? kwa hela anayotuma!!?

Ubunifu aliokuwa nao katika kuokoa matumizi holela wa pesa na mali za umma,Mentality na imani aliyokuwa nayo kuwa Tanzania ni Taifa tajiri na linastahili kuwa "Donor country" Uwezo wake wa kusukuma mambo mengi yenye tija kwa Taifa kwa wakati mmoja,
1.Kueneza umeme vijijini bila tozo ya mshikamano.

2. Kujenga vituo vya Afya nchi nzima bila tozo ya mshikamano.

3. Kupambana na rushwa

4. Kuanzisha masoko ya dhahabu

5. Kudeal na unyonyaji kwenye madini

6. Nidhamu ya kazi na uwajibikaji kwa civil servants

7. Kutuonyesha kuwa si lazima tufuate njia ya wengi(kujiamini)

8. Kujenga Bwawa la Nyerere bila tozo ya mshikamano.

9.Katufundisha uthubutu.

10.Alikataa mkopo wenye riba kandamizi wa dola bilioni 10 kutoka China.

11.Aliwapiga marufuku maafisa wa Serikali kutoka safari za nje na akafuta msamaha wa kodi kwao.

12.Magufuli alishutumu kampuni ya Uingereza, Acacia Mining kwa uchimbaji haramu na akaamuru walipe fidia kwa kutothamini mauzo ya dhahabu ya Tanzania.

13.Makontena yao (ACACIA) zaidi ya 250 yalikamatwa katika bandari ya Dar es Salaam. Walilipa dola milioni 300 na kuipatia Tanzania umiliki wa 16% katika migodi 3.

14.Magufuli alianzisha elimu ya bure katika shule za serikali mnamo 2016 bila tozo ya mshikamano.

15.Alisimamia ununuzi wa ndege 11 za Air Tanzania, akapanua Kituo cha III cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere bila tozo ya mshikamano.

16.Alijenga Reli ya Tanzania Standard Gauge, Mfugale Flyover, Kituo cha Umeme cha Julius Nyerere,Interchange ya barabara ubungo Ubungo bila tozo ya mshikamano.

17.Rais Magufuli alijenga Daraja la Selander, Daraja la Kigongo-Busisi, Huduma Bora Za afya, Vituo Bora Za Afya, kupanua Bandari ya Dar es Salaam, Kituo cha Mabasi cha Dodoma, kiwanda cha LNG, miradi ya maji, mradi wa shamba la upepo, mradi wa Hospitali ya Uhuru, kiwanda cha kusafishia dhahabu, na Kituo cha Mabasi cha Magufuli.

18.Magufuli alisimamia uwekwaji wa umeme vijijini ambapo vijiji zaidi ya 7000 (elfu saba) kati ya elfu 9 vilivyokuwa kwenye mpango wa nishati vijijini (REA) viliwekewa umeme kwa shilingi elfu ishirini na saba tu (27,000).

Rais Magufuli alisema Tanzania ni nchi tajiri sana,in terms of natural resources,na kinachotakiwa kuzigeuza rasilimali hizo kuwa pesa itakayoendesha nchi bila tozo ya mshikamano.

1.Rais Magufuli alisema,tumechezewa mno kwa muda mrefu kwenye rasilimali zote na zimekuwa zinafaidisha kwa kujenga nchi nyingine badala ya Tanzania.
2. Rais Magufuli alisema,tumeibiwa mno kwa muda mrefu, Tanzanite inachimbwa Tanzania lakini inauzwa tokea Kenya!!? Rais Magufuli akajenga ukuta na kituo cha kuuza Madini ya Tanzanite na sasa tumeanza kupata mapato kwenye Madini ya Tanzanite.
3. Rais Magufuli alisema,tukiamua tunaweza (kuondokana na huu umaskini wa kujiletea wenyewe maana tumepewa kila kitu kasoro akili ya kuzitumia rasilimali hizo bila kumtoza mnyonge tozo ya mshikamano!!.
4.Rais Magufuli alisema Natural resources ni zetu (siyo zao) tuzitumie kuleta mabadiliko katika maisha ya watu wetu na kujiletea maendeleo wenyewe sio Kenya ichukue Tanzanite zetu na kuziuza,sio Kenya ichukue Chai kule Mufindi na kuiuza Dubai mara mia ya bei iliyonunua Tanzania!!

Leo wanyonge wanamkumbuka Rais Magufuli kwa tozo ya mshikamano iliyowagusa moja kwa moja na kuwachoma kama msumali kwenye mfupa,mtaani kila mtu analalamika,hili Rais Magufuli hasingelikubali kamwe mnyonge aonewe,yeye angedili na Matajiri tu wenye Kondoo mia angechukua mmoja mmoja sio mnyonge mwenye Kondoo mmoja uende kumchukua huyo Kondoo wake mmoja!!? Leo Wanyonge wanamkumbuka Rais Magufuli kwa kuwa aliyaishi maneno yake angetaka kuishi na Matajiri angeweza lakini utaishi vipi na Matajiri wakati wanaokupigia kura ni wanyonge masikini,

Daima Rais Magufuli aliwaheshimu na kuwaheshimisha wanyonge na masikini alijishusha na kuishi nao,alikula nao alilala nao na aliwaza na kuongea kama masikini na kwa hakika alitupa moyo na ujasiri sisi masikini na alituambia tutembee kifua mbele tukatembea nae na alituonyesha tunapokwenda,alitunyosha dira ya Tanzania inapokwenda na tulijua Tanzania tunaelekea wapi kiuchumi na kutoka kwenye umasikini alituambia kama una macho ona na kama una mikono shika uone Ujenzi na kushika vitu vipya vinavyojenga miundo mbinu ambayo itakujakugeuza rasilimali kuwa pesa ya kuendesha nchi ya Tanzania na kuwaletea haueni masikini na kuuondoa umasikini katika ardhi ya Tanzania.

Nimalizie kwa kutaja Chanzo kikubwa sana cha mapato alichotumia Rais John Pombe Magufuli, na ambacho waliobaki hawakioni ni;

1. Aliimarisha audit na kudhibiti wizi na Ufisadi na wezi na Mafisadi waliikimbia nchi.

2. Aliongeza adhabu kwa Mafisadi na wezi wa mali ya Umma,na alifanya kwa vitendo.

3. Alidecentralize madaraja, yaende chini.. kumjazia madaraka mtu mmoja kunashawishi wizi na ubadhilifu wa mali ya Umma,

4. Alisema kesi za wizi na Ufisadi watu wafungwe, alikamata Mafisadi wote.

A true leader has the confidence to stand alone, the courage to make tough decisions, and the compassion to listen to the needs of others. He does not set out to be a leader, but becomes one by the equality of his actions and the integrity of his intent.”
1.Msimamo
2.Kututia ujasiri
3.miundo mbinu
4.Kutuondolea ufisadi

Daima nitamkumbuka Rais Magufuli kwa haya yafuayayo.

-- Kuondoa service charges za TANESCO wakati wa kununuwa Umeme LUKU ambayo yaliwafurahisha Wananchi hasa Wanyonge,

-- Kurasimisha viwanja kwa kupimwa ardhi kwa 150,000/tu.badala ya gharama kubwa kama ilivyokuwa zamani.

-- Kuleta control numbers katika malipo ya serikalini kwenye huduma mbali mbali na kupunguza wizi serikalini.

-- Kurudisha heshima kwenye taasisi za serikalini.

-- Kuleta maendeleo inchi nzima kwa kasi ya ajabu kabisa..

-- kukataa kuwapigia magoti mabeberu.

--wezi na mafisadi kukimbia inchi kwa kisingizio cha kunyimwa haki na kukandamizwa.

Nimalizie kwa kusema kupanda kwa nishati (mafuta ya petrol na diesel) na miamala ya simu kulikofanywa kimakusudi ama kimkakati kama namna ya kuongeza vyanzo vingine vya mapato kumeua matumaini yote ya vyuma kuachia,malalamiko yamekuwa mengi mtaani,maisha ya msoto yameongezeka zaidi kwa watanzania kuliko kipindi cha Rais Magufuli na wakati huo huo ufanisi wa utendaji kwa watumishi wa umma umeporomoka,Chadema wanaangalia wapi pa kujengwa hoja ili waibomoe vizuri CCM,Chadema inashikilia kupigwa kumbo kwa mchakato wa katiba mpya (ambao upo kisheria)

Chadema Wana ajenda yao ya kuzuiwa kwa shughuli za siasa kwa vyama vya upinzani (ambapo kupo kikatiba) kama kosa kubwa zaidi lililofanywa na utawala wa sasa,kwa tulipofika hakuna namna CCM tunaweza kupambana kihoja na kinguvu kupingana na harakati za wanasiasa wa upinzani na wanaharakati,huenda tukapelekwa mchaka mchaka baada ya mawazo ya Chadema kwenda sambamba na mawazo ya Wananchi,Ni wakati sasa Maded 120,Madc 120,Wakurugenzi 120,Wakuu wa Mikoa 30 kuandika proposal za vyanzo vipya vya mapato na kuziwakilisha kwenye panel kuchakatwa ili kuona kipi chanzo bora cha mapato bila kumuumiza Mwananchi mnyonge,nami pia naandika proposal yangu ya chanzo kipya cha mapato bila kumuumiza Mwananchi mnyonge.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Katika fedha zilizotumika kwenye hiyo miradi, ni fedha za NSSF na PSSSF. Lakini tukumbuke chovya chovya humaliza asali. Kama kuwalipa watu mafao yao imekuwa ni shida, unadhani kuna asali imebaki?, inabidi sasa zitafutwe njia zingine za kutafuta fedha.
 
Wenyewe hawatakuelewa KABISA

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Hayati Magufuli alifanya mengi mazuri na yenye tija kwa nchi hii akiongozwa na uzalendo wa kweli, huruma na upendo wa kweli kwa raia wake. Hauwezi kumfananisha Magufuli na hawa wanafiki, waongo na wachumia tumbo ambao wameweza kutumia ujinga wa wanachama, na wafuasi wao kujinufaisha kisiasa. Wanadanganywa kuwa Lisu huwa anasimamia anachokiamini ili waweze kutoa michango kwa chama awapiganie. Sasa mtu anaesimamia anachokiamini ilikuaje mwaka 2015 akakubali kumezeshwa matapishi yake na deki barabarani akapigishwa. Njaa mbaya sana, imewadhalilisha hawa jamaa na magenge yao.

images (7).jpeg

images (12).jpeg

images (11).jpeg
 
Magufuli alichofanya hakina impacts za kusaidia wananchi wa chini,eg.kununua ndege. Lakini aliweza kufanya yote bila kutegemea kodi kwa sababu alitumia nguvu na kuvunja sheria,eg. Aliiba hela kwa nguvu kwenye accounts za wafanyabiashara,aliteka na kulazimisha malipo toka kwa wafanyabiashara etc,tuache kusifia majambazi.
 
Magufuli ndiyo sababu tunahitaji tozo la mshikamano.

Kwa sababu kaenda kwenye bonanza ya ujenzi, wenye tija na usio na tija.

Mfano ni daraja jipya la Salender.

Lile daraja lina solve tatizo gani la traffic na kwa nini halikuwekwa katikati huku Jangwani ambako watu wengi wanapita?
 
Magufuli si alikuwa anapora watu fedha kwenye akaunti za benk,kupitia DPP Samia na Magufuli wote waporaji.Samia anapora kwa kila mtu kwa kutumia makato ya simu.Magufuli alikuwa anapora matajiri.Wote ni wamoja.
 
Huu ndio ukweli... Ingawa naona hii mshikamano kama strategy fulani tunakamuliwa then muda mfupi kabla ya uchaguzi tatizo linapatiwa ufumbuzi kutupoza.
 
Kinachofanyika sasa ni reparation ya uchumi ulioharibiwa na Magufuli...Sasa tunalipia ukimya wetu when nchi ilipokuwa inaharibiwa...Always nilikuwa nawaambia praise team around me that in the coming years tutaanza kuona aftermaths za anayoyafanya Magufuli sema walikuwa hawaoni mbali...Kuongezeka kwa kila aina ya kodi ili waweze fidia walipochukua pesa kama madeni ya ndani na nje pia..

Uzuri ni kwamba watabisha sana wakiambiwa vitu,Hii kodi ya tozo ya simu haifai lakini watabisha na hadi itakapopita miaka au miezi watakuja kukiri while it is too late..wanachokifanya serikali ni kuwa mkubwa hakosei hata kama it is the opposite..

Same Mistake inatokea kwenye handling ishu ya Katiba but since wao ndiyo kila kitu..Big headed,then hawatosikia kamwe wala kutumia busara kwenye kufanya maamuzi ya busara pia
 
Hayati Magufuli alifanya mengi mazuri na yenye tija kwa nchi hii akiongozwa na uzalendo wa kweli, huruma na upendo wa kweli kwa raia wake. Hauwezi kumfananisha Magufuli na hawa wanafiki, waongo na wachumia tumbo ambao wameweza kutumia ujinga wa wanachama, na wafuasi wao kujinufaisha kisiasa. Wanadanganywa kuwa Lisu huwa anasimamia anachokiamini ili waweze kutoa michango kwa chama awapiganie. Sasa mtu anaesimamia anachokiamini ilikuaje mwaka 2015 akakubali kumezeshwa matapishi yake na deki barabarani akapigishwa. Njaa mbaya sana, imewadhalilisha hawa jamaa na magenge yao.

View attachment 1858198

View attachment 1858199

View attachment 1858200

Kama Malaika wakikusanya matukio ya kinafiki kuwahi kutokea duniani,Hili litachukua nambari moko tokea Dunia imeumbwa😂😂😂,,kila nikikumbuku zile video za vijana wakiwapa wamama omo wadeki barabar,nacheka sana
 
MIEZI 4 BILA JPM:KWA NINI RAIS MAGUFULI ALIWEZA KUIJENGA NCHI BILA TOZO YA MSHIKAMANO!?

Leo 12:50hrs 18/07/2021

Mwana wa kweli wa Afrika, Son of the soil, Hayati Rais Dr. John Pombe Magufuli,ndani ya miaka mitano aliifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati bila tozo ya mshikamano akifanya hivyo kabla ya miaka kumi aliyowekewa kuifikisha nchi ya Tanzania kwenye uchumi wa kati, alifanya hivyo bila tozo ya mshikamano na naamini hata sasa angekuwepo kila mradi ungekwenda bala bala bila tozo ya mshikamano huku kila siku akiizindua miradi mbalimbali bila tozo ya mshikamano, hii ni wake up call kwa Chama changu cha Mapinduzi,Wanyonge! Wanyonge! Wanyonge si watu wa kucheza nao,if you tamper with the less privileged people "Wanyonge" you will lose their votes 2025.

Hivi leo Elimu bure aliyoileta Rais Magufuli imetufanya watoto wa maskini, sisi wanyonge tuwe hapa tunajibizana na watunga sera walioleta tozo ya Mshikamano, kama si Rais Magufuli tungekuwa mbugani tunachunga ng'ombe au kijijini tunalina asali na kuogelea mtoni kuvua ngadu, Chama changu cha CCM tuangalieni sisi wanyonge, machozi yetu wanyonge watunga sera hamtabaki salama,Leo nakumkumbuka Rais Magufuli kwa kufikisha umeme kijijini kwetu Matombo,Tawa mwaka 2017,kijiji chetu cha Matombo ndio njia ya kuelekea kisaki kwenye mbuga ya Selous Game Reserve ambayo Rais Magufuli aliifanya mbuga rasmi na kuiita Mbuga ya Selous na kuanzisha bwawa kubwa la kuzalisha Umeme la Julius Nyerere.

Bwawa la Rufiji kwa kumuenzi Mwalimu Julius Nyerere, Rais John Magufuli aliliita bwawa la Umeme la Rufiji kuwa Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere ambalo lilishindikana kuanzishwa toka mwaka sabini Mwalimu Julius Nyerere alipotoa wazo la kuanzishwa kwa Bwawa hilo, lakini Rais Magufuli alianza Ujenzi na akasema iwe mvua iwe jua litajengwa na kuisha, kumbuka aliamua kufanya hivyo bila tozo ya mshikamano,lakini nifurahie Umeme kule kijijini Matombo, kibunduga ambapo hatukuwa na umeme tangu uhuru lakini Rais Magufuli alituletea Umeme bila tozo ya mshikamano. Sasa hivi nikienda kwa bibi eti panawaka taa kama mjini.

Rais Magufuli alifanikiwa kwa kuwa ukwepaji kodi ulipungua kwa kasi sana na janja janja zote za kukwepa zilitiwa kapuni. Aliinyoosha sana
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambayo kimsingi ilikuwa imeoza na kufifia kiutendaji,Kwa hili nampa big up maana huu ndiyo umekuwa msingi wa sasa wa Taifa la Tanzania kutamba lakini kuna watu wameanza kuturudisha nyuma wakituambia nchi yetu ni masikini licha ya rasilimali zote lakini tunaambiwa tuchangie tozo ya mshikamano tuijenge nchi,ndugu zangu tuna dhahabu,tuna almasi,tuna Tanzanite,tuna gas,tuna mbuga za wanyama,tuna Mlima Kilimanjaro ambao ni mlima mrefu kuliko yote barani Africa,

Tuna bandari ila eti mafuta yamepanda Dar ambapo bandari ipo ila Zambia kms zaidi ya 1000 kununua lita moja ya petrol ni sh 1800 za kitanzania wakati pale kurasini nje tu ya ukuta wa bandari kituo (0-1km) Mtanzania ananunua mafuta 2500!! nini manufaa ya bandari kwa Mtanzania ni yapi? kama kodi ni muhimu kwanini wabunge nao wasilipe kodi? Hao ni raia exceptional katika nchi hii? Unaadhani kwanini hakuna usawa huo na kwa nini tajiri aachiwe kwa ufisadi alioufanya halafu ianzishwe tozo ya mshikamano na mnyonge akatwe 5,000!!!? kwa hela anayotuma!!?

Ubunifu aliokuwa nao katika kuokoa matumizi holela wa pesa na mali za umma,Mentality na imani aliyokuwa nayo kuwa Tanzania ni Taifa tajiri na linastahili kuwa "Donor country" Uwezo wake wa kusukuma mambo mengi yenye tija kwa Taifa kwa wakati mmoja,
1.Kueneza umeme vijijini bila tozo ya mshikamano.

2. Kujenga vituo vya Afya nchi nzima bila tozo ya mshikamano.

3. Kupambana na rushwa

4. Kuanzisha masoko ya dhahabu

5. Kudeal na unyonyaji kwenye madini

6. Nidhamu ya kazi na uwajibikaji kwa civil servants

7. Kutuonyesha kuwa si lazima tufuate njia ya wengi(kujiamini)

8. Kujenga Bwawa la Nyerere bila tozo ya mshikamano.

9.Katufundisha uthubutu.

10.Alikataa mkopo wenye riba kandamizi wa dola bilioni 10 kutoka China.

11.Aliwapiga marufuku maafisa wa Serikali kutoka safari za nje na akafuta msamaha wa kodi kwao.

12.Magufuli alishutumu kampuni ya Uingereza, Acacia Mining kwa uchimbaji haramu na akaamuru walipe fidia kwa kutothamini mauzo ya dhahabu ya Tanzania.

13.Makontena yao (ACACIA) zaidi ya 250 yalikamatwa katika bandari ya Dar es Salaam. Walilipa dola milioni 300 na kuipatia Tanzania umiliki wa 16% katika migodi 3.

14.Magufuli alianzisha elimu ya bure katika shule za serikali mnamo 2016 bila tozo ya mshikamano.

15.Alisimamia ununuzi wa ndege 11 za Air Tanzania, akapanua Kituo cha III cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere bila tozo ya mshikamano.

16.Alijenga Reli ya Tanzania Standard Gauge, Mfugale Flyover, Kituo cha Umeme cha Julius Nyerere,Interchange ya barabara ubungo Ubungo bila tozo ya mshikamano.

17.Rais Magufuli alijenga Daraja la Selander, Daraja la Kigongo-Busisi, Huduma Bora Za afya, Vituo Bora Za Afya, kupanua Bandari ya Dar es Salaam, Kituo cha Mabasi cha Dodoma, kiwanda cha LNG, miradi ya maji, mradi wa shamba la upepo, mradi wa Hospitali ya Uhuru, kiwanda cha kusafishia dhahabu, na Kituo cha Mabasi cha Magufuli.

18.Magufuli alisimamia uwekwaji wa umeme vijijini ambapo vijiji zaidi ya 7000 (elfu saba) kati ya elfu 9 vilivyokuwa kwenye mpango wa nishati vijijini (REA) viliwekewa umeme kwa shilingi elfu ishirini na saba tu (27,000).

Rais Magufuli alisema Tanzania ni nchi tajiri sana,in terms of natural resources,na kinachotakiwa kuzigeuza rasilimali hizo kuwa pesa itakayoendesha nchi bila tozo ya mshikamano.

1.Rais Magufuli alisema,tumechezewa mno kwa muda mrefu kwenye rasilimali zote na zimekuwa zinafaidisha kwa kujenga nchi nyingine badala ya Tanzania.
2. Rais Magufuli alisema,tumeibiwa mno kwa muda mrefu, Tanzanite inachimbwa Tanzania lakini inauzwa tokea Kenya!!? Rais Magufuli akajenga ukuta na kituo cha kuuza Madini ya Tanzanite na sasa tumeanza kupata mapato kwenye Madini ya Tanzanite.
3. Rais Magufuli alisema,tukiamua tunaweza (kuondokana na huu umaskini wa kujiletea wenyewe maana tumepewa kila kitu kasoro akili ya kuzitumia rasilimali hizo bila kumtoza mnyonge tozo ya mshikamano!!.
4.Rais Magufuli alisema Natural resources ni zetu (siyo zao) tuzitumie kuleta mabadiliko katika maisha ya watu wetu na kujiletea maendeleo wenyewe sio Kenya ichukue Tanzanite zetu na kuziuza,sio Kenya ichukue Chai kule Mufindi na kuiuza Dubai mara mia ya bei iliyonunua Tanzania!!

Leo wanyonge wanamkumbuka Rais Magufuli kwa tozo ya mshikamano iliyowagusa moja kwa moja na kuwachoma kama msumali kwenye mfupa,mtaani kila mtu analalamika,hili Rais Magufuli hasingelikubali kamwe mnyonge aonewe,yeye angedili na Matajiri tu wenye Kondoo mia angechukua mmoja mmoja sio mnyonge mwenye Kondoo mmoja uende kumchukua huyo Kondoo wake mmoja!!? Leo Wanyonge wanamkumbuka Rais Magufuli kwa kuwa aliyaishi maneno yake angetaka kuishi na Matajiri angeweza lakini utaishi vipi na Matajiri wakati wanaokupigia kura ni wanyonge masikini,

Daima Rais Magufuli aliwaheshimu na kuwaheshimisha wanyonge na masikini alijishusha na kuishi nao,alikula nao alilala nao na aliwaza na kuongea kama masikini na kwa hakika alitupa moyo na ujasiri sisi masikini na alituambia tutembee kifua mbele tukatembea nae na alituonyesha tunapokwenda,alitunyosha dira ya Tanzania inapokwenda na tulijua Tanzania tunaelekea wapi kiuchumi na kutoka kwenye umasikini alituambia kama una macho ona na kama una mikono shika uone Ujenzi na kushika vitu vipya vinavyojenga miundo mbinu ambayo itakujakugeuza rasilimali kuwa pesa ya kuendesha nchi ya Tanzania na kuwaletea haueni masikini na kuuondoa umasikini katika ardhi ya Tanzania.

Nimalizie kwa kutaja Chanzo kikubwa sana cha mapato alichotumia Rais John Pombe Magufuli, na ambacho waliobaki hawakioni ni;

1. Aliimarisha audit na kudhibiti wizi na Ufisadi na wezi na Mafisadi waliikimbia nchi.

2. Aliongeza adhabu kwa Mafisadi na wezi wa mali ya Umma,na alifanya kwa vitendo.

3. Alidecentralize madaraja, yaende chini.. kumjazia madaraka mtu mmoja kunashawishi wizi na ubadhilifu wa mali ya Umma,

4. Alisema kesi za wizi na Ufisadi watu wafungwe, alikamata Mafisadi wote.

A true leader has the confidence to stand alone, the courage to make tough decisions, and the compassion to listen to the needs of others. He does not set out to be a leader, but becomes one by the equality of his actions and the integrity of his intent.”
1.Msimamo
2.Kututia ujasiri
3.miundo mbinu
4.Kutuondolea ufisadi

Daima nitamkumbuka Rais Magufuli kwa haya yafuayayo.

-- Kuondoa service charges za TANESCO wakati wa kununuwa Umeme LUKU ambayo yaliwafurahisha Wananchi hasa Wanyonge,

-- Kurasimisha viwanja kwa kupimwa ardhi kwa 150,000/tu.badala ya gharama kubwa kama ilivyokuwa zamani.

-- Kuleta control numbers katika malipo ya serikalini kwenye huduma mbali mbali na kupunguza wizi serikalini.

-- Kurudisha heshima kwenye taasisi za serikalini.

-- Kuleta maendeleo inchi nzima kwa kasi ya ajabu kabisa..

-- kukataa kuwapigia magoti mabeberu.

--wezi na mafisadi kukimbia inchi kwa kisingizio cha kunyimwa haki na kukandamizwa.

Nimalizie kwa kusema kupanda kwa nishati (mafuta ya petrol na diesel) na miamala ya simu kulikofanywa kimakusudi ama kimkakati kama namna ya kuongeza vyanzo vingine vya mapato kumeua matumaini yote ya vyuma kuachia,malalamiko yamekuwa mengi mtaani,maisha ya msoto yameongezeka zaidi kwa watanzania kuliko kipindi cha Rais Magufuli na wakati huo huo ufanisi wa utendaji kwa watumishi wa umma umeporomoka,Chadema wanaangalia wapi pa kujengwa hoja ili waibomoe vizuri CCM,Chadema inashikilia kupigwa kumbo kwa mchakato wa katiba mpya (ambao upo kisheria)

Chadema Wana ajenda yao ya kuzuiwa kwa shughuli za siasa kwa vyama vya upinzani (ambapo kupo kikatiba) kama kosa kubwa zaidi lililofanywa na utawala wa sasa,kwa tulipofika hakuna namna CCM tunaweza kupambana kihoja na kinguvu kupingana na harakati za wanasiasa wa upinzani na wanaharakati,huenda tukapelekwa mchaka mchaka baada ya mawazo ya Chadema kwenda sambamba na mawazo ya Wananchi,Ni wakati sasa Maded 120,Madc 120,Wakurugenzi 120,Wakuu wa Mikoa 30 kuandika proposal za vyanzo vipya vya mapato na kuziwakilisha kwenye panel kuchakatwa ili kuona kipi chanzo bora cha mapato bila kumuumiza Mwananchi mnyonge,nami pia naandika proposal yangu ya chanzo kipya cha mapato bila kumuumiza Mwananchi mnyonge.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.

Bandiko refu la kumsifia dhalimu, lakini hofu bado ni cdm. Ni hivi, cdm ni habari nyingine hata ccm ifanye vizuri vipi. Kuna mahitaji ya wakati.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom