mazagazagatza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 209
- 223
Samia hapori watu. Tozo za miamala zimepitishwa na bunge,zinatizwa kwa mujibu wa sheria.Magufuli si alikuwa anapora watu fedha kwenye akaunti za benk,kupitia DPP Samia na Magufuli wote waporaji.Samia anapora kwa kila mtu kwa kutumia makato ya simu.Magufuli alikuwa anapora matajiri.Wote ni wamoja.
Hata hivyo,mipango yote ya bajeti hii iliachwa na Magufuli. Bajeti ya Samia itakuwa inayokuja. Hivyo,kama kina zuri,sifa apewe Magu na kama kuna baya lawama apewe Magu pia.