Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,264
Tunaenda March sasa kweli muda siyo rafiki mzuri km hujui kuutumia. Mzee November 26 uliingia rasmi madarakani na kuanza safari yako ya miezi 60 ( miaka 5). Mpaka sasa umebakiza miezi 45, michache sana hiyo.
Miezi 15 umefanya nini Tangible ambacho kitaacha legacy hata ilitokea ukastaafu Leo. 2020 siyo mbali kabsa.
Ndiyo mkuu unauthubutu lakini uthubutu huo katika nini?
Kipi ambacho umefanya kimemsaidia MTU wa chini kufurahia uwepo wako madarakani kwa miezi 15 mpaka sasa.kipi ambacho umeachieve. Watani wako wa kisiasa wanadai unawafanyia rafu ( wengine wapo mahabusu), wananchi maisha magumu mitaani, private sector zinafanya reshuffling/retrenchment, biashara ngumu, watumishi wa umma wanalia, vyakula juu.
Mzee yote yanatokea siyo kwakuwa wewe umepanga. Mzee huna washauri/ wasaidizi kabsa. Kwa changamoto zilizopo afya bado Waziri wako wa afya anashinda mitandaoni kupekuwa majina ya watu wanaojiuza. Anataka na yeye awe gumvo km dogo yule. Mzee weka mazingira mazuri kwa wataalamu wakushauri na kubali mawazo mbadala. Wasaidizi wako waambie waache kukimbizana na watani wako wa kisiasa hiyo inaleta chuki za wananchi kwako.
Muda siyo rafiki kwako tena.
Miezi 15 kipi umeachive ambacho mwananchi wa kawaida kinamsaidia? Leo bei ya mchele na unga ni sawa.
Na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.