deni
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 255
- 186
mimi ni mwanafunzi wa 4m 4 kibaha sec.ninatarajia kuhitimu mwezi wa 10.pia ninatarajia kujiunga na technical college na sio A-level,hivyo kwenda tena kusoma ni mpaka mwezi wa 9 mwakani.tatizo ni kwamba sijajua nitafanya shuguli gani kwa muda huo wote wa miezi 11.nimefikiria kufundisha:masomo nayaweza lakini sina confidence kwakua ninaonekana mdogo sana kiumbo.sitaki kuupoteza huu muda.tafadhali wana JF naombeni msaada wenu.