Miembe ya kisasa..

Tulizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
848
662
Miembe ya kisasa.. hakuna haja ya kurusha mawe kupopoa maembe...

337080_2545885131024_1370649574_33009953_1790957598_o.jpg
 
Kwani wachina hawaruhusiwi kuishi indonesia?

Wanaruhusiwa kuishi Indonesia tena wengine ni raia kama tutakavyokuja kuwaona Chinese-Tanzanian baada ya miaka michache ijayo. Ila wenzetu wamewadhibiti wachina katika kuchakachua sio kama tulivyoshindwa sisi kuwadhibiti katika kuchakachua..hadi dawa za kuongeza hips..
 
Miembe hiyo inapatikana kuanzia Dar, Bagamoyo, Kibaha, Morogoro (SUA) na maeneo jirani, Mbeya na sehemu chache. ni miembe ya kawaida sana kwa sasa tatizo letu Habari za hayo hazienei kwa wadau.

kaka hiyo miembe kwa kibaha inapatikana wapi? na dar pia inapatikana wapi? saidia ndugu....
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom