MkuuHuoni hao ni wachina
Just a note, hiyo picha imepigwa Java, Indonesia.
Kwani wachina hawaruhusiwi kuishi indonesia?
swali ni kwamba tunapataje hiyo mbegu na sisi tupande?
Miembe hiyo inapatikana kuanzia Dar, Bagamoyo, Kibaha, Morogoro (SUA) na maeneo jirani, Mbeya na sehemu chache. ni miembe ya kawaida sana kwa sasa tatizo letu Habari za hayo hazienei kwa wadau.
wiki mbili tu lol!!!inachukua muda gani mpaka nile embe......?
Huoni hao ni wachina