Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Kwanza tukumbushe id yako ya awali,karibu
Wana Chit-Chat habarini!!
Nimepitia thread kadhaa na kugundua mambo kadhaa ikiwemo madongo ya kufa mtu,utani mwingi nk.
Pia nimesikia kuna mkaguzi hapa anaitwa babu Asprin.
Mie mgeni,naomba kuoneshwa mitaa ya kukatiza humu.
karibu halafu fanya mpango wa kunitumia vocha kwenye hii namba faster...0786800800
ole wako uwaguse wake za Asprin,utashushwa mshipa,oloza yao nikupe? sema wote ni nzee chokest wakioga maji hayateremki,eti BADILI TABIA na cacico si ndio?Wana Chit-Chat habarini!!
Nimepitia thread kadhaa na kugundua mambo kadhaa ikiwemo madongo ya kufa mtu,utani mwingi nk.
Pia nimesikia kuna mkaguzi hapa anaitwa babu Asprin.
Mie mgeni,naomba kuoneshwa mitaa ya kukatiza humu.
Chunga sanaaaaaa!
Wana Chit-Chat habarini!!
Nimepitia thread kadhaa na kugundua mambo kadhaa ikiwemo madongo ya kufa mtu,utani mwingi nk.
Pia nimesikia kuna mkaguzi hapa anaitwa babu Asprin.
Mie mgeni,naomba kuoneshwa mitaa ya kukatiza humu.
Imenichukua muda mrefu sana kujua jinsi ya kumention mtu kama ulivyofanya. Hii inaonesha kwamba wewe si mgeni humu. Tuambie Id yako ya zamani kwanza.

Inawezekana uelewa wake na wako ni tofauti, kuna watu ni wadadisi na wajuvi wa mambo...