Mie mgeni mitaa hii!!

Wana Chit-Chat habarini!!
Nimepitia thread kadhaa na kugundua mambo kadhaa ikiwemo madongo ya kufa mtu,utani mwingi nk.
Pia nimesikia kuna mkaguzi hapa anaitwa babu Asprin.
Mie mgeni,naomba kuoneshwa mitaa ya kukatiza humu.
ole wako uwaguse wake za Asprin,utashushwa mshipa,oloza yao nikupe? sema wote ni nzee chokest wakioga maji hayateremki,eti BADILI TABIA na cacico si ndio?
 
Last edited by a moderator:
Wana Chit-Chat habarini!!
Nimepitia thread kadhaa na kugundua mambo kadhaa ikiwemo madongo ya kufa mtu,utani mwingi nk.
Pia nimesikia kuna mkaguzi hapa anaitwa babu Asprin.
Mie mgeni,naomba kuoneshwa mitaa ya kukatiza humu.

mh! ila uwe makini usije kuwa kama wale ambao huamini kuna kupata umaarufu jf! hapa ni chating, enjoying and making friends
 
Last edited by a moderator:
Id ipi tena Baba V?
Ahsante,nioneshe mitaa ya kupita basi.

Imenichukua muda mrefu sana kujua jinsi ya kumention mtu kama ulivyofanya. Hii inaonesha kwamba wewe si mgeni humu. Tuambie Id yako ya zamani kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Imenichukua muda mrefu sana kujua jinsi ya kumention mtu kama ulivyofanya. Hii inaonesha kwamba wewe si mgeni humu. Tuambie Id yako ya zamani kwanza.

Inawezekana uelewa wake na wako ni tofauti, kuna watu ni wadadisi na wajuvi wa mambo...
 
Imenichukua muda mrefu sana kujua jinsi ya kumention mtu kama ulivyofanya. Hii inaonesha kwamba wewe si mgeni humu. Tuambie Id yako ya zamani kwanza.

Ni kweli umelistukia hili lenyeji !
Hapa mgeni hayupo.
Huyu sio Mkongomani muuza Mitomba huyu?
 
Mkuu Chilli,nimekuwa guest kwa muda mrefu,na nimepitia baadhi ya posts zinazo elekeza jinsi ya ku-mention.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli umelistukia hili lenyeji !
Hapa mgeni hayupo.
Huyu sio Mkongomani muuza Mitomba huyu?

Mkuu Judgement,mbona waniandama?
Nimekuwa guest kwa muda humu na nimejifunza ku-mention kupitia baadhi ya posts zilizoelekeza hivyo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom