Midundo (Beats) kali zaidi kwenye historia ya Bongo Fleva

daaah nikisema nitaje beats kali nitataja nyingi sanaa. in short nawaheshimu sana producers aysee. Majani,Miika Mwamba Kali,Q the Don,CHIZAN BRAIN,Ambha,Marco chizi,master J,defxtro, Soggy,Profesa Ludigo,Marijani,J Murder na Rider,oldpaper n.k...Daah ni wengi aysee...Kwa kupitia hao ndimo zinakotoka beat kali nlizowahi kuzipenda kibongo bongo. Kudos kwao
Tutajie hata 3 tuu ambazo unazikubali
 
1.jebi(wanapagawa /aibu yao)-Boniluv
2.Elimu mtaani(D Knob)-Mikasa Mwamba Kali
3.mzee wa busara(Nature)-Majani mdachi
 
Albamu nzima ya Bwana Misosi katengeneza Miika Mwamba. Huyu alikuwa bonge ya Producer, hata Majani haoni ndani.
Ndiye aliyewatoa akina Dully Sykes (albamu ya Historia ya kweli), Hardmad (kama unakumbuka wimbo wa Tamala), D Knob (Elimu Mitaani.com), Picco (mwenye wimbo wa Kikongwe) na kadhalika.
Mkuu, nitoke vipi ni beat ya Majani. Halafu kusema Mika ni bora kuliko Majani kwa sababu kawatoa hao uliowataja ni potofu. Unajua Majani kawatoa watu wangapi? Kuanzia Prof J, Juma Nature, Jay Moe, Jaffarai, Daz Nundaz, Ferooz, Mb Dogg, Afande Sele, Ngwea...
 
Mkuu, nitoke vipi ni beat ya Majani. Halafu kusema Mika ni bora kuliko Majani kwa sababu kawatoa hao uliowataja ni potofu. Unajua Majani kawatoa watu wangapi? Kuanzia Prof J, Juma Nature, Jay Moe, Jaffarai, Daz Nundaz, Ferooz, Mb Dogg, Afande Sele, Ngwea...
Beat ya mapenzi kitu gani mb dog noma sana p majani
 
Hakuna kulala - Juma nature prd P funk

Radhia - Dollo ft Juma nature prd P funk

Nampenda yeye - Temba prd P funk

Ndio zetu - Wanaume tmk producer P funk

Mtoto wa geti kali - Inspector haroun

Bye bye - Inspector Haroun

Sikio la kufa - watengwa

Mambo vipi - Mchizi mox

Nipo busy - Jafarai
Umetisha kuliko wote kila beat hapo iko moto,,hasa niko busy apo ndo Vijana wanajifunzia ku shake
 
Na mimi zangu hizi hapa
1.Ni mnataka mazee- big black
2.si ulinambia-Mb dog
3.she got gwan
4. kama vip
mez b
5.mambo vp-mchiz mox
5.nampenda yeye-temba
6..Nipe 5-daz baba
7.jiachie-chiz benz
8.namba nane-daz baba
9.dar es salaam stand(ngoma itambae)-chid benz
10.Lafita-mb dog
 
Isee kweli kabisa nafasi nyingine ya akina sumalee ilikuwa kali sana
kuna kadogo kaliitwa bab lee siju kalienda wapi
ila kuna nyimbo za kenya kibongobongo zilitisha... ka nasikia utamu na kamoja tu kutoka kwa akina the bugz
 
Isee kweli kabisa nafasi nyingine ya akina sumalee ilikuwa kali sana
kuna kadogo kaliitwa bab lee siju kalienda wapi
ila kuna nyimbo za kenya kibongobongo zilitisha... ka nasikia utamu na kamoja tu kutoka kwa akina the bugz
nafasi Park lane walitisha sanaa
 
1.Mzee wa busara-Wachuja nafaka
2.Sonia-Nature
3.Hili game-Nature
4.Kibanda cha simu-Soggy doggy anter
5.Mama-King Crazy GK
6.Hii leo-GK and Upanga team
7.Nimesimama-Mr II
8.Kubwa kuliko-Hard blasters
9.Sitaki demu-Nature
10.Inaniuma sana-Nature
11.Funga kazi-Hard blasters
12.Msela-Chelea man
13.Nyambizi-Dully
14.Mtoto wa geti kali-Inspector haroun
15.Julieta-Dully
16.Chemsha bongo-Prof. J & Hard blasters
17.Ingekuwa vipi-MwanaFA
18.Gado-Zay B
19.Naja
20.Ngangari-Inspector Haroun

Hizi ni zile kali sana za enzi muziki wa Bongo fleva ulikuwa mziki kweli. Waambieni hawa vijana wa kisasa waachane na kisikiliza wabana pua hawa. Tafuteni hizi mjue mziki wa bongo ulikuwaje.
 
Mi Ni hizi zangu
1. Nimekubali- mez b na temba
2. Inawezekana wewe ungekuwa wangu (Sina hakika Sana juu ya jina la wimbo)- d knob na Rey c
3. Dhahabu kariakoo- dully, joselyn na blue
MAPRODUCER SIWAJUI ILA NIKISIKIA HIZI BEATS ZA HIZI NYIMBO NIKISHINDWA KUCHEZA KWA KUTINGISHA KICHWA BASI HATA MGUU UTACHEZA KISIRISIRI
nilikua nasubir number 3 aise no shida...ila nyimbo za zamani z ilikua kali
 
Nyingine

Kamatia chini - producer Nahreel

She got a gwan ya ngwair - prd P funk

Kama unataka dem wa J moe - prd P funk

Chagua moja wa Fid q prd P funk

Nikupe nini wa Man dojo na Domokaya - producer P funk

Nini mnataka mazee wa Pig black - Producer P funk

Mshkaji mmoja hivi wa Joslin - prd Master j

Jirushe wa Ferouz - prd P funk

Kiss kiss wa Mr. blue - Prd G love

Baki na mimi wa Mr. Blue - prd Dunga

Chochote popote wa Joh makini

Fid q.com wa Fid q
Chochote popote. ..prod dunga pia
Fid q .com...prod castro baucha records
 
1) Sisi fagio la chuma - Fagio la chuma crew

2) Nasema nao - Ney wa mitego

3) Raha kamili rmx Ay ft Snare

4) Asanteni kwa kuja - Mwana fa

5) Gere - Weusi

6) Nje ya box - Weusi

7) Zigo - Ay ft Diamond

8) Shika adabu yako - Nay

9) Pesa Mr. Blue

10) Nitampata wapi Diamond
Hii ni midundo ya juzi juzi kuanzia 2010 na haina mashiko kwenye midundo hadi leoo hii
 
1.Mzee wa busara-Wachuja nafaka
2.Sonia-Nature
3.Hili game-Nature
4.Kibanda cha simu-Soggy doggy anter
5.Mama-King Crazy GK
6.Hii leo-GK and Upanga team
7.Nimesimama-Mr II
8.Kubwa kuliko-Hard blasters
9.Sitaki demu-Nature
10.Inaniuma sana-Nature
11.Funga kazi-Hard blasters
12.Msela-Chelea man
13.Nyambizi-Dully
14.Mtoto wa geti kali-Inspector haroun
15.Julieta-Dully
16.Chemsha bongo-Prof. J & Hard blasters
17.Ingekuwa vipi-MwanaFA
18.Gado-Zay B
19.Naja
20.Ngangari-Inspector Haroun

Hizi ni zile kali sana za enzi muziki wa Bongo fleva ulikuwa mziki kweli. Waambieni hawa vijana wa kisasa waachane na kisikiliza wabana pua hawa. Tafuteni hizi mjue mziki wa bongo ulikuwaje.
Usisahau Maskini jeuri - manduli mob, naikubali ile biti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom