Midundo (Beats) kali zaidi kwenye historia ya Bongo Fleva

Na mimi zangu hizi hapa
1.Ni mnataka mazee- big black
2.si ulinambia-Mb dog
3.she got gwan
4. kama vip
mez b
5.mambo vp-mchiz mox
5.nampenda yeye-temba
6..Nipe 5-daz baba
7.jiachie-chiz benz
8.namba nane-daz baba
9.dar es salaam stand(ngoma itambae)-chid benz
10.Lafita-mb dog
Nipe tano ni bonge la biti, lile goma lina kiki kinomanoma
 
Tatizo mnachanganya ilitakiwa muweke ngoma zilizo tamba zakale tu! Za sasa weka kando

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Bwana mdogo,hizo ngoma ni zakale sawa,lakin ukigonganisha na hizo unazosema wewe za sasa,za zamani bado zinabamba sana tu

Yaan hata kama hukutarajia isikia lazma utingishe mguu kama siyo mkono au kuiimba kimoyo moyo
 
Muziki wa Bongo unakaribia Miongo miwili sasa, wanamuziki wengi pamoja na maproducer wamechangia muziki huu kufika ulipo sasa, ifuatayo ni orodha ya midundo mikali zaidi katika historia ya Muziki wa Bongo(maoni yangu)....

Kama kutakuwa na mwenye maoni tofauti aweke hapa tupate orodha itakayokubalika na wengi zaidi...

1. MIKASI...Albert mangwea... Produced by "P Funk".. Bongo Records.

2. MWANZA..... Fid Q.... Produced by "P Funk"... Bongo Records

3. Kibanda cha simu.. Soggy Doggy.... Produced by "P funk"... Bongo Records

4. Bongo Dar-es-salaam..... Prof J..... Produced by " Master J"... Mj Records

5. Perfume.... Joslin... Produced by "Master J"... Mj Records

6. Nitoke vipi.. Bwana Misosi...Produced by "P Funk "... Bongo Records.

7. Pwaa.. C Pwaa.. Produced by "Lucci"

8.. Mnataka nini(Mistari).. Black Rhyno

9. Don Bother.... Joh makini... Produced by "Nahreel"... The Industry.

10. Number 1... Diamond Platnumz... Produced by "Shedy clever"
Namba 5 beat produced by producer Jonas
 
Mimi mpaka zama hizi Midundo 10 bora kwangu ni hii:

1. Baab Kubwa - Planet 2000 - P Funk

2. Nini Mnataka Mazee - Pig Black - P Funk

3. Hili Game - Juma Nature - P Funk

4. Sitaki Demu - Juma Nature - P Funk

5. Game - Navy Kenzo - Nahreel

6. Kamatia Chini - Navy Kenzo - Nahreel

7. Mtazamo - Afande Sele, Prof J, Solo Thang - P Funk

8. Chemsha Bongo - Hard Blasters - MJ Records Prof Ludigo (?)

9. Bongo Dar es salaam - Prof J ft Jide - P Funk

10. Number 1 Remix - Diamond Platnumz ft Davido - Shedy Clever
Namba 1 beat produced by master J
 
Balozi - Wengi Walikuwepo
Rah P - Hayakuhusu
Sugu - Moto Chini
T.I.D & Jide - (sikumbuki jina la wimbo)
Squizer ft Juma Nature - Naja
Fid Q - Danger
Prof J - Zali la mentali
Chid Benz ft Ally Kiba - Hasira za nini
Planet 2000 - Bab kubwa
Temba, Chege & Ferooz - (jina la wimbo nimesahau)
Inspector Haroun - Asali wa moyo
Daz Nundaz - Elimu dunia
Afande Sele - Mkuki moyoni (sijui nimepatia jina)
Juma Nature - Mtoto Idd
Mike T ft Juma Nature - Tunafanyakazi (sina hakika na jina la wimbo)
Wagosi wa kaya - Wauguzi
Wagosi wa kaya - Tanga kunani
Mandojo & Domokaya - Dingi
Ngwair ft Mwana FA & Jide - Sikiliza
Mad Ice - Ukweli (sina uhakika jina la wimbo)
Mr Blue ft Jide - Sema

zipo nyingi aisee siwezi taja zote hapa

acha na hizo beats producers walitulia hasa
 
Muziki wa Bongo unakaribia Miongo miwili sasa, wanamuziki wengi pamoja na maproducer wamechangia muziki huu kufika ulipo sasa, ifuatayo ni orodha ya midundo mikali zaidi katika historia ya Muziki wa Bongo(maoni yangu)....

Kama kutakuwa na mwenye maoni tofauti aweke hapa tupate orodha itakayokubalika na wengi zaidi...

1. MIKASI...Albert mangwea... Produced by "P Funk".. Bongo Records.

2. MWANZA..... Fid Q.... Produced by "P Funk"... Bongo Records

3. Kibanda cha simu.. Soggy Doggy.... Produced by "P funk"... Bongo Records

4. Bongo Dar-es-salaam..... Prof J..... Produced by " Master J"... Mj Records

5. Perfume.... Joslin... Produced by "Master J"... Mj Records

6. Nitoke vipi.. Bwana Misosi...Produced by "P Funk "... Bongo Records.

7. Pwaa.. C Pwaa.. Produced by "Lucci"

8.. Mnataka nini(Mistari).. ni PIG BLACK producer(bongo recod)
 
Na mimi zangu hizi hapa
1.Ni mnataka mazee- big black
2.si ulinambia-Mb dog
3.she got gwan
4. kama vip
mez b
5.mambo vp-mchiz mox
5.nampenda yeye-temba
6..Nipe 5-daz baba
7.jiachie-chiz benz
8.namba nane-daz baba
9.dar es salaam stand(ngoma itambae)-chid benz
10.Lafita-mb dog yaani hapa mjomba list yako yote ni P funk majani
 
Albamu nzima ya Bwana Misosi katengeneza Miika Mwamba. Huyu alikuwa bonge ya Producer, hata Majani haoni ndani.
Ndiye aliyewatoa akina Dully Sykes (albamu ya Historia ya kweli), Hardmad (kama unakumbuka wimbo wa Tamala), D Knob (Elimu Mitaani.com), Picco (mwenye wimbo wa Kikongwe) na kadhalika.
Nitoke Vip ni beats ya P funk Majani, mdutch, kinywele kimoja, beats nzito Bongo Records
 
Rado - usiulize

Producer wa hii beat nafikiri aliindaa asubuhi ya siku ya J3 maana alitulia sana ni bonge beat haiishi utamu.
 
Dah beat za zamani zilikua zinaongea. Sijawahi zipenda za hivi sasa mpaka najihisi huenda nimezeeka sijui nyinyi wadau mnalizungumziaje hili. Huenda tuko outdated ndio mana hatuzipendi beat kama uno na nyingine zone?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom