Midlife crisis.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,886
hili ni tatizo la kihisia ambalo huwapata watu wenye umri wa kati ya miaka 45-60. watu hawa huishi kwa mashaka, hushuka moyo na hujihisi hatia. hii husababishwa hasa na kutotimiza malengo yao maishani. wengine huanza kula bata, kutoka na vibinti au wavulana na kuishi maisha yasiyoendana na umri wao. hali hii husababishwa na.
1.kutaka kurekebisha makosa ya ujanani.
2.kutoridhika na kazi, ndoa, uchumi nk
3. kuogopa kuzeeka.
4.kuona wa lika lake wamefanikiwa kuliko yeye.
5.kushindwa kugegeda na afya kuzorota.
Quarter-Life-Crisis.jpg
4122014035265.jpg
201512_0859_iihie_sm.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom