msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,730
Baadhi ya nchi za Mashariki ya kati weekend ni Ijumaa na Jumamosi, jumapili mpaka Alhamis ni siku za kazi ( mfano Jordan, Iraq)..... sijui kule Israel nako hali ikoje maana nataka kufika huko mwenye taarifa tafadhari... by the way kama ni hivyo wenzetu wakristo wa nchi hizo hufanya ibada siku gani sasa??