Nilitegemea Profesa Kabudi kwa niaba ya Serikali ya Tanzania hadi wakati huu awe ametoa tamko KALI kuonya kuwa Tanzania haitavumilia uchokozi wa aina yoyote unaofanywa na Marekani dhidi ya Taifa rafiki la Iran.
Si Kawaida ya Serikali ya
Tanzania inayoongozwa na Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli kuvumilia uonevu kama huu, kwa hiyo naisihi Serikali ichukue hatua mara moja hata kwa kumwita na kumwonya Balozi wa Marekani hapa nchini ili tuwakomeshe MABEBERU!
Viva Tanzania
Viva Kabudi
Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM
Sijui kuna tatizo gani. Waziri Mambo ya Ndani aliingia na mbwembwe za mabendera kwenye sauti na ilani ya CCM sasa chalii!
Thanks for your contributionSijui kuna tatizo gani. Waziri Mambo ya Ndani aliingia na mbwembwe za mabendera kwenye sauti na ilani ya CCM sasa chalii!
Mambo ya Nje naye kaja na Tashwishwi na mapovu kibao, Leo chali!
Ni jambo jema sana kama serikali na taasisi zake zinafanya hivyo. Sasa vp kuhusu usalama wa watanzania waliopo huko middle East? Mbona serikali za nchi zingine zinatoa matamko kwa usalama wa raia wao? Mbona viongozi wetu wapo kimya mpaka sasa? Au hakuna raia wa Tanzania Iraq, Iran and other countries around the gulf region?Serikali kupitia Wizara husika na idara inayohusika na nchi za Mashariki ya Kati na ofisi ya Balozi anayehusika na nchi hiyo nina uhakika kila sekunde kila dakika wanafuatilia kinachojiri huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, umelielewa vizuri swali langu? Au umekurupuka tu kujibu?YEYE kama nani? ugomvi wa bunduki wewe unajipeleka na mishale yako
unazijua akili za Trump vizuri au unazisikia? yule ni mwehu Hata Magu akasome
Kabudi yupo na majukumu mengine
Hiyo statement ipo wapi ili na mimi niisome pia brother?Serikali kupitia Wizara husika imeshatoa taarifa na kuwstaka watanzania kuchukuwa tahadhali - Serikali iko sensitive sana kwa wananchi wake
Mkuu, ina maana huko Iraq, Iran na nchi za jirani hakuna raia wa Tanzania?Mkuu hatutaki bifu isiyo na maana , hapo pakubwa sisi tuendelee kusukumana kwenye daladala
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kaufyata ndugu yangu?Kaufyata full stop
Yapaswa iwe hivyo ila kwa Tanzania sidhani km kitu hicho kinafanyika, nakumbuka suala la Msumbiji....kuna watanzania wenzetu walikuwa wanakimbia huko wengine wakawa wadhubutu kuvuka mito na wakafia humo...wengine walipoteza mali zao...kumbuka suala la S. Africa,....nilianza kuhisi baba hana huruma na watoto wake....."serikali haikuleta tetemeko""....Huko Kagera... Rwanda ilichangia, Kenya ilichangia, Uingereza ilichangia, Watanzania walichangia, kanisani tulichangia , misikitini tulichangia nk...raia wa Kagera waliopatwa na majanga walipewa pakti za biscut... nakumbuka baba alikuja kumeshakucha kabisa majirani walikuwa wameshatufariji kadri ya uwezo wao....baba alifika anawaambia kuwa si yeye aliyeleta tetemeko......Sembuse ndugu zetu walioko Ughaibuni.....nahisi hatuna bahati kwa kipindi hiki juu ya masuala ya utu.Serikali kupitia Wizara husika na idara inayohusika na nchi za Mashariki ya Kati na ofisi ya Balozi anayehusika na nchi hiyo nina uhakika kila sekunde kila dakika wanafuatilia kinachojiri huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama imetoa tamko naipongeza kwa hiloSerikali kupitia Wizara husika imeshatoa taarifa na kuwstaka watanzania kuchukuwa tahadhali - Serikali iko sensitive sana kwa wananchi wake
Mimi pia ninaipongeza kwa hilo. Lipo wapi hilo tamko na mimi nilione?