Middle East Political Unrest: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje wanatoa tamko gani juu ya usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?

Mkuu hapa bongo huduma ya maji ni kama luxury commodity, wenzetu sasa hivi wanagundua technlogy mpya za kivita, wanafanya research za kutibu wadudu wakati sisi hospitali hazina madaktari, madaktari wamesoma lakini hakuna bajeti ya kuwaajiri. Tramp na Kabudi wanaishi dunia tofauti kabisa
 
Hii Tz yenyewe ya ccm tayari ishalimwa barua la karipio na congress kuhusu kubinya haki za binadamu na uhuru wa kujieleza japo wengine wanasema ni feki lakini ubalozi haujakanusha mpaka sasa

Jr
 
Nilitegemea Profesa Kabudi kwa niaba ya Serikali ya Tanzania hadi wakati huu awe ametoa tamko KALI kuonya kuwa Tanzania haitavumilia uchokozi wa aina yoyote unaofanywa na Marekani dhidi ya Taifa rafiki la Iran.

Si Kawaida ya Serikali ya
Tanzania inayoongozwa na Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli kuvumilia uonevu kama huu, kwa hiyo naisihi Serikali ichukue hatua mara moja hata kwa kumwita na kumwonya Balozi wa Marekani hapa nchini ili tuwakomeshe MABEBERU!

Viva Tanzania

Viva Kabudi

Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM

Unaweza Kumkosoa na Kumsema Baba yako Mzazi ambaye ndiye anakupa Jeuri ya Kuishi mjini na ukiwa na Shida ya aina yoyote ile ( hasa ya Kiuchumi ) unakimbilia Kwake?
 
Sijui kuna tatizo gani. Waziri Mambo ya Ndani aliingia na mbwembwe za mabendera kwenye sauti na ilani ya CCM sasa chalii!
Mambo ya Nje naye kaja na Tashwishwi na mapovu kibao, Leo chali!
Thanks for your contribution
 
Serikali kupitia Wizara husika na idara inayohusika na nchi za Mashariki ya Kati na ofisi ya Balozi anayehusika na nchi hiyo nina uhakika kila sekunde kila dakika wanafuatilia kinachojiri huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo jema sana kama serikali na taasisi zake zinafanya hivyo. Sasa vp kuhusu usalama wa watanzania waliopo huko middle East? Mbona serikali za nchi zingine zinatoa matamko kwa usalama wa raia wao? Mbona viongozi wetu wapo kimya mpaka sasa? Au hakuna raia wa Tanzania Iraq, Iran and other countries around the gulf region?
 
Serikali kupitia Wizara husika na idara inayohusika na nchi za Mashariki ya Kati na ofisi ya Balozi anayehusika na nchi hiyo nina uhakika kila sekunde kila dakika wanafuatilia kinachojiri huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yapaswa iwe hivyo ila kwa Tanzania sidhani km kitu hicho kinafanyika, nakumbuka suala la Msumbiji....kuna watanzania wenzetu walikuwa wanakimbia huko wengine wakawa wadhubutu kuvuka mito na wakafia humo...wengine walipoteza mali zao...kumbuka suala la S. Africa,....nilianza kuhisi baba hana huruma na watoto wake....."serikali haikuleta tetemeko""....Huko Kagera... Rwanda ilichangia, Kenya ilichangia, Uingereza ilichangia, Watanzania walichangia, kanisani tulichangia , misikitini tulichangia nk...raia wa Kagera waliopatwa na majanga walipewa pakti za biscut... nakumbuka baba alikuja kumeshakucha kabisa majirani walikuwa wameshatufariji kadri ya uwezo wao....baba alifika anawaambia kuwa si yeye aliyeleta tetemeko......Sembuse ndugu zetu walioko Ughaibuni.....nahisi hatuna bahati kwa kipindi hiki juu ya masuala ya utu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom