Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
- #21
Sawa boss
Sawa boss
Boss wangu, please usilete siasa za vyama katika masuala ya msingi ya kitaifa kama haya ya usalama wa watanzania huko middle EastHawawezi kutoa tamko hadi CCM iwe hatarini kutoweka kabisa!!!Raia sio kipaumbele kwa serekali ya awamu ya tano!!!
CDM ndio nini boss wangu?
HapanaJe Marekani atavamia Iran??
Je, Marekani atavamia Iran?
Jibu la swali hili ni HAPANA kwasababu ifuatayo: China iliitangazia dunia May 2019 kuwa itapingana na vikwazo vyovyote vya marekani vya kumzuia kununua mafuta kutoka Iran. India nayo ilitangaza pia kupingana na vikwazo vya marekani vya kuwazuia wao kununua mafuta kutoka...www.jamiiforums.com
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwahiyo US alivyotoa tamko juu ya raia wake waishio nje walitoa kiwehu wehu? Je hawakuangalia impact zitakazotokea kwenye hizo nchi?Tamko linatakiwa kutolewa na nch husika kuwa Kuna Hali ya hatari .
kwenye mahusiano ya kimataifa ukijitamkia tu waweza leta mgogoro mkubwa Kati yako na hiyo nchi unayoiyoitamkia tamko sababu mfano utalii kwenye hiyo nchi waweza poromoka,uwekezaji ukaporomoka ,investors wakaondoka ,biashara yake ya nje ikaanguka sababu watu watakataa kuingia mikataba ya Kibiashara nao kea ku base kwenye tamko lako.
Matamko.hayatolewi kiwehu wehu tu kisa Kuna mtanzania Yuko nje ya nchi anafanya kazi za kuosha matako vizee vya kizungu au vya kiirani
Kwanza MOTTO hiyo ni ya wanaccm tu, pili serikali haikuwapeleka huko hivyo watajua wenyewe kwa kutoipenda nchi yao na kwenda kuishi nchi ya wengine, wakawaulize wenzao walioko Afrika Kusini ndege yetu ilirudi tupu ikiwaacha wauae.Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu ni kama ifuatavyo;
Serikali kupitia Wizara ya mambo ya nje wanatoa tamko gani kuhusiana na usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?
OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO
ThanksKwahiyo US alivyotoa tamko juu ya raia wake waishio nje walitoa kiwehu wehu? Je hawakuangalia impact zitakazotokea kwenye hizo nchi?
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Kwahiyo US alivyotoa tamko juu ya raia wake waishio nje walitoa kiwehu wehu? Je hawakuangalia impact zitakazotokea kwenye hizo nchi?serikali haikuwapeleka huko hivyo watajua wenyewe kwa kutoipenda nchi yao na kwenda kuishi nchi ya wengine, wakawaulize wenzao walioko Afrika Kusini ndege yetu ilirudi tupu ikiwaacha wauae.
I don't think sousije shangaa hao raia wakakwambia bora wafie huko kuliko kurudi Tanzania.
Mkuu, soma comment number 36 ya Masulupwete hapo juu kuhusiana na serikali ya India na raia wake. Ina maana wahindi ndio main target huko Iraq na Iran?Kwa ujumla watanzia si walengwa kwenye mgogoro huo
Kama nchi inaona wananchi wake wapo hatarini kwenye nchi fulani,huchukua tahadhari ya kuwaondoa au kuwashauri mkuwa makini
Hatari walio nayo watanzania huko ni ya jumla kama raia wengine tu,lakini wao si walengwa,hivyo kama mtu ana wasiwasi na maisha yake ajiondoe tu
You saw a prisoner refusing to go home after being paroled, this won't suprise me if there are really Tanzanian in that region.I don't think so