Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,249
Baada ya kusikia na wengine kushuhudia kimbembe cha uchaguzi wa rais na wabunge nchini Tanzania, leo pia ni siku ya Mid-term Election kule US. Je Democratic Party watalinda viti vyao kwenye Baraza la wawakilishi pamoja na Senete, au Republican party wataibuka videdea?. Republican leaders will get along with Tea Partiers?. Well It's going to be a long night today!.