Microsoft lumia

Tish

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
362
209
Wadau naomba mnijuze simu ipi aina ya Microsoft lumia naweza kupata kwa tsh 200,000 au chini ya hapo iwe na sifa zifuatazo ram 1gb internal 8gb au zaidi camera quality na battery inayodumu na charge. Asante
 
sana sana hapo utapata lumia 535, pia ukitafuta sana unaweza pata 640 kama alivyosema mdau hapo juu, ni vyema ukatafuta yenye windows 10
 
sana sana hapo utapata lumia 535, pia ukitafuta sana unaweza pata 640 kama alivyosema mdau hapo juu, ni vyema ukatafuta yenye windows 10
Nashukuru chief.Hivi hizi lumia vipi utendaji wake ukilinganisha android au iphone. Asante
 
Ku browser internet, kuangalia movie kwenye game sio mpenzi.Sana sana matumizi mengi ya internet
tatizo hio budget huwezi pata android nzuri, ila kwa matumizi yako unatakiwa upate simu ya android yenye display nzuri.

ujue lumia sasa hivi hazitengenezwi tena microsoft wanahamia muelekeo mwengine hivyo hata hizo browser za internet baadhi wamesitisha support kama vile opera.

ila still ni simu nzuri na imara.

upo comfortable na simu used? simu galaxy j5 ingekufaa sana kwa matumizi hayo.
 
Back
Top Bottom