microsoft 2013

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
heshima zenu wana jukwaa,,,mim nimepakua microsoft 2013 sasa cijui nifanye je kuinstall bila ku-burn kwenye cd kwa sababu ni ISO FILE so ina fail ku-install ,,,nisaisie kama kunaprogram ya ku-open na kuinstall
 
maswali mengine bana! Umetaka msaada, umeambiwa nini cha kufanya, bado unaendeleza maswali. Fanya ulichoambiwa, ikishindikana ndio uje na maswali yako ila kama ungefuata maelekezo ya huyo Mkuu ilo swali lako lisingekuwepo.
 
mkuu nashukuru ,,sasa hio iso file na extrat au?

power iso ina feaures nyingi sana! kama utapenda ku-extract ni wewe ila mimi nashauri ukishamaliza installation ya power iso restart pc yako halafu nenda kwenye hiyo ISO ya office ui-right click then chagua Mount. Hapo itatengeneza virtual CD ROM drive na kukufanya uinstall kama vile unatumia CD
 
maswali mengine bana! Umetaka msaada, umeambiwa nini cha kufanya, bado unaendeleza maswali. Fanya ulichoambiwa, ikishindikana ndio uje na maswali yako ila kama ungefuata maelekezo ya huyo Mkuu ilo swali lako lisingekuwepo.

usimlaumu, jamaa. hakumuelekeza kutengeneza virtual cd drive kwa kutumia power iso, hakumuelewesha kama ana extract au la.

ngoja nimsaidie,

ukirun power iso utaona kwenye upande wa kulia ambapo uwa kuna notifications utaona alama ya cd i right click chagua number ya virtual drives kuanzia 1 mpk zaidi, chagua moja.

nenda kwenye hilo iso right click kisha mount. hauihitaji ku extract

ukienda kwenye my computer utaona cd drive mbili moja ya kawaida na nyingine ina iyo office13,

run , itaanza kuinstall, ikimaliza unmount
 
nahitaji kuimount win7 setup ili niinstall kwenye c ambayo nimetumia kuimount je itakubali kufanya installation au itagoma..
 
power iso ina feaures nyingi sana! kama utapenda ku-extract ni wewe ila mimi nashauri ukishamaliza installation ya power iso restart pc yako halafu nenda kwenye hiyo ISO ya office ui-right click then chagua Mount. Hapo itatengeneza virtual CD ROM drive na kukufanya uinstall kama vile unatumia CD

najaribu mkuu afu nakupa feedback ,,,,,mjibu nae huyo aliye ulizia kuhusu window ilikupanua ufahamu
 
nahitaji kuimount win7 setup ili niinstall kwenye c ambayo nimetumia kuimount je itakubali kufanya installation au itagoma..
sijawahi jaribu hii ila kwa uzoefu wangu mdogo sidhani kama inawezekana haswa kama unaformat kabisa (labda kama una upgrade) maana ukiwa unaformat itafuta mpka hiyo program uliyotumia ku mount sasa sijui hiyo image ita kuwa accessed vipi tena (na hapa nazungumzia ukiwa na HDD partition labda uwe ume save image humo) ila kama unaiformat yote kabisa ..am sure haiwezekani mkuu..but kama nlivyosema sijawahi jaribu hii kitu..maybe you can give a try afu utuletee majibu!!:smiling:
 
nahitaji kuimount win7 setup ili niinstall kwenye c ambayo nimetumia kuimount je itakubali kufanya installation au itagoma..

kama hutaformat computer itakubali ila ujue utakuwa os mbili, hii na win7
 
WAKUU nashukuru kwa michango yenu nisha-install lakini ku-activate kumenishika,,nimejaribu KMS ambayo nimedownload na hiyo microsoft,,,nisaidieni na hili
 
nimepitia mkuu lkn key nilizoziona nimezijaribu zimekataaa,,mwishoni mwa thread jamaa anasema zimesha kuwa blacklised
 
Back
Top Bottom