Michuzi vipi? Mbona toka uamie dot com ni kwikwi tupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michuzi vipi? Mbona toka uamie dot com ni kwikwi tupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shadow, Jun 7, 2010.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
 2. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Heshima yako mkuu Michuzi: Hako kaujumbe ndo nimekutana nako baada la kuwa 'nasaka mapicha' ya ujio wa Brazil.
   
 3. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Hata mimi nimekutana nako!
   
 4. M

  Magezi JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Tafadhali kaka michuzi tunamiss mambos ktk kablogu ketu vipi??
   
 5. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #5
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Lemme talk to him now, lakini wakuu mambo haya ni magumu sometimes; let's see how we can help each other
   
 6. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  jamaa alijaribu mambo ya .com mwanzo akachemsha naona karudia tena.
   
 7. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #7
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Kaahidi itarejea haraka iwezekanavyo, so tumpe muda wakuu.
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha mkuu, nimepita kule mapema leo!!! Nimakutana na [​IMG] kaweka kofili la viro. Halo Michuzi vipi tena mkuu wakati eti glob yako ilipewa sijui tunzo sijua cheti cha mtandao wa jamii Tz wakati hits zenyewe kwa siku hazifikii hata nusu ya hits za JF kwa saa!!??
   
 9. k

  kiber Member

  #9
  Jun 7, 2010
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yah mambo ya michuzi siku hizi yamedoda, yeye ni CCM tu Na TBL news and pics ndiyo yamejaa kwenye blog yake, sijui wanamlipaga how much, halafu comment anabania ile mbaya, antoa to za kusifia, pls ka mich weka mambo kama ya zamani bwana, we want to come back to you bro!:angry:
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mara ya mwisho alikuwa Doha-Qatar naamini muda si mrefu atakuwa ametua bongo.
   
 11. M

  Magezi JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nimekuelewa mkuu unamaana gani lakini hebu msaidie kakayetu hapo huenda mambo yamekuwa magumu.
   
 12. M

  Magezi JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Pamoja na yote lakini Jf ndiyo tegemeo, pongezi kwa uongozi wa JF kwa ujumla.
   
 13. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  shida ya kuwa na mlengo wa upande mmoja.. Hakuna habari za maana katika blogu ya michuzi sasa zaidi ya kuweka mipicha zake tu akiwa nje ya nchi, picha za jaamaa zake kama akina jk nk, picha za simba na yanga kama sio za ndovu, kilimanjaro au safari lager..labda uncle michuzi ungepunguza userikali zaidi ...

  (wapi pia makeke ya mk music galaxy, globu ya jamii- jambo blog network, bongotyube, na nyinginezo???

   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Iko hewani jamani acheni kuchonga....mambo ya bure haya!
   
 15. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu Masa,

  Naona Ameiamsha anwani ya zamani MICHUZI .Mwanzo walikuwa wanatupeleka dot com na tunaishia kuuliwa mapene! Michuzi asante kwa kutusikia!!
   
 16. Ignorant

  Ignorant Member

  #16
  Jun 7, 2010
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hata mie nimekutana na hili tatizo. Juzi juzi tu alituarifu kua anataka kufanya mabadiliko katika blog yake na kwenda dot com. Inawezekana kua tatizo linasababishwa na hayo mabadiliko.....
   
Loading...