Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

watu wamepelekwa ama wameenda wenyewe? sasa wanamdanganya nani hapo?
 
Its just a psychological game. Ili wakitaka kuchakachua kura iaminike kuwa bado walikuwa na support kubwa ya umma.
 
Angalia hii picha kwa makini hasa huyu alovaa sweta nyekundu yenye kofia nyeupe katokea mara ngapi ktk hii picha?

attachment.php

Duuuh.........hahahahah....kwi kwi kwi kwi
 
Sijui leo imetokea nini nikaenda kubrowse kwa michuzi maana huwa siendi
nilichokuta sikutegemea mtu na professional yake ya mtaan ya kupiga picha
anadiliki kuchakachua hizi picha

Bro Michuzi unachakachua kwa manufaa ya nani? Njaa mbaya


Mod naomba mnisadia kuattach vizuri ikiwa zimekaa vibaya

CHADEMA mnahomaaa mnatetemeka!
 
Hiyo kazi ya kuchakachua picha ni ya Chaga Demonstration Movement, tulikuwa hatuijui na kwanza tunaisikia kwenu, sasa hizi picha ungekuwepo mwenyewe Jangwani live ndio ungejua jogoo limewika. Huwezi kuipenda blog ya Michuzi, anaandika vitu vya ukweli sio kufurahisha mapenzi kwa ubwabwa wa jamatini...................hapakunuka jangwani leo hazikwenda taka...................udi na manukato...........!!!!!!!!!!
 
Hauoni Faida ya Michuzi kuwa kwenye Misafara ya Rais bila kufanya Chochote, alikwenda RIO, BRAZIL alipiga PICHA 6

Akarudi bongo na kitita cha Dola $ 8,000.00 walikuwa huko kwa siku 5 tu; sasa kitu chochote cha CCM kwanini asikifariji

CHAKULA HAPO; CCM ikiondoka na yeye anadondoka VITRIP vinagonga Mwamba
 
Wakuu mimi sioni sababu ya kushindania wingi wa watu cha msingi ni kuwauliza kama ccm wame jibu hoja za watanzania ...umaskini unaongezeka kila siku...ufisadi ...gamba ...rushwa ...mikopo elimu ya juu...polisi kuua raia hovyo...maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi.
 
Angalia hii picha kwa makini hasa huyu alovaa sweta nyekundu yenye kofia nyeupe katokea mara ngapi ktk hii picha?

attachment.php


Mkuu lokisa very briliant nimeona kwa macho yangu, ila kama mtu haangalii kwa makini au anaangalia kimagamba magamba, hatoweza ona,,
 
Mie huwa simlaumu Michuzi zaidi ya ujinga na njaa na upofu so to speak. Huwa namuonea huruma iwapo wengine wasio mabwana zake wakichukua ikulu. Anyway time will tell. Invisible leo hunipati.
 
Kiukweli hiyo blog siiangaliagi, ogopa mwanaume kila kukicha anaoa tu. Shule yenyewe hana alafu anajitutumua
 
Mnachunganya tu wengine ambao hatukwenda jangwani wala kuona kwenye Runinga. Wekeni basi hizo picha ambazo ni sahihi. Ambazo ni za leo na si za 2010. Wekeni ambazo hazijachakachuliwa. Yaani mtu unazungushia fulana iliyoandikwa 2010 unataka tuamini kwamba hao walikuwa kwenye mkutano wa kampeni 2010! Kwa hiyo watu hawavai fulani wala kofia za 2010 za CCM? Mbona uswabilini kwangu wengine wanatumia hizo fulana kuendea makanisani.



Hizi fulana za ccm wanazopewa walalahoi waliowengi ni disposable, ukitumia mara moja tu haifai tena!
 
Technology imekuwa sana siku hizi hivyo watakaoibgiza usanii watajulikana mapema.hongera mtoa mada umewafungua wengi nikiwamo mimi sbb sikuwahi kuitembelea hiyo blog na ni vizuri ukatuwekea link yake tujionee.
 
Nadhani wewe ndo umechukua picha kwa Michuzi na kuanza kuzichakachua ili ujenge hoja yako.

Siasa za bongo usije tishika na watu na kadi ulizogawa, watu wanaweza badilika siku moja tu. We kamwulize Mrema (TLP),

umeona eeh.
 
Hata ikifa CCM mrithi wake hatakuwa Chadema, nyie watoto yatima hamna baba hamna mama wote vijana nyie mmejizaa wenyewe.........mtamrithi nani?
 
Back
Top Bottom