Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kachanchabuseta, Jun 9, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sijui leo imetokea nini nikaenda kubrowse kwa michuzi maana huwa siendi
  nilichokuta sikutegemea mtu na professional yake ya mtaan ya kupiga picha
  anadiliki kuchakachua hizi picha

  Bro Michuzi unachakachua kwa manufaa ya nani? Njaa mbaya


  Mod naomba mnisadia kuattach vizuri ikiwa zimekaa vibaya
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Du yale yaleeeeeeeeeee ankal mithupu anachakachua kinomaaaaa!!
   
 5. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kawaida yao hubeba watu toka mbali na eneo husika sijui hawa wasombwa toka wapi

  pia naomba ufafanuzi wa hizi picha kidogo sizielewi
   
 6. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Dah, mamia hawana viatu, bare feet, wanafurahia maisha bora kwa kila mtanzania. Kazi ipo.
   
 7. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa jinsi nilivyotazama hizo picha,nimegundua kuwa zilikuwa za kampeni za urais mwaka 2010. Huyo Michuzi kahadaa watu katika blog yake uchwara. Bila shaka anafukuzia ukuu wa wilaya,maana kwa kazi kama hiyo ya kuhadaa watu kwa picha si bure
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  You dont need to be graphic designer kuona usanii uliofanywa hapa. Picha ya kwanza ukiangalia kwa makini utaona kuna makundi mawili. Kundi la nyuma kabisa watu wanangalia 'direction nyingine' na kundi hili la pili. Au walikuwa na majukwaa mawili?

  Lakini pia, colour/mpauko wake ni toafuti. Kule nyuma kunaonekana watu wako kwenye jua kali zaidi ya hawa wa mbele. Yote hii ya nini? Unamdanganya nani?
   
 9. B

  Bob G JF Bronze Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huku ni kudhalilisha fani na kujidhalilisha, Wabongo bana kitu kidogo 2 anajimaliza, iko wapi heshima Michuuzi ya kuungaunga mapicha ya zamani?
   
 10. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yaani mipicha ya chadema ingekuwa inafanywa hivi dar ingejaa yote
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  PICHA NYINGINE HIZI HAPA

  Wasira akihutubia mbele hakuna watu ( kuna open space)

  Anna Tibaijuka wakati anahutubia mbele pako wazi

  NApe OPEN SPACE IMEKUWA FILLED

  WHAT SHAME MISUPU MISUPU.....................
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  ccm leo walikaa kwenye viti vyeupe. na walitengwa kiwilaya temeke, ilala na kinondoni. walikaa kwa kuangaliana. Mia
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 16. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Unacopaswa kufanya ni kuleta picha unayotaka tuamini ni sahihi, iko wapi?
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  michuzi anapoteza hadhi ya kuwa mpiga picha bora
  kwa njaa anaendekeza kukiuka maadili ya uandishi bora.
   
 18. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Mkuu ZeMarcopolo picha zote zimechakachuliwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kawaida yao...ona hii hapa

  [​IMG]
   
 20. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Lokissa yaani ukiangalia hizi picha background ni tofauti

  huyu misupu bwana

  siku moja time will tel
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...