Michuzi Blog: Sea Bus inasemekana kukwama Nugwi zaidi ya Saa 8

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
Inasemekana meli hiyo imekwama katika eneo ilipozama MV Spice Islander kwa zaidi ya masaa nane na kuzua taharuki kubwa kwa abiria wanosafiri na Chombo hicho.

source: Michuzi BLOG
 
Jamani Nungwi hapo!!!! Isijekuwa ndio Bermuda Triangle ya Tanzania maana sasa hili balaa. Kuna haja serikali ikaenda kuwaokoa jamaa haraka sana maana mawimbi ya hapo ni balaa na mkondo wa bahari ndio kabisa. Na serikali kuna umuhimu wa kusimamisha vyombo vyote vya majini vifanyiwe ukaguzi kabla ya kuendelea na usafiri maana hii sasa balaa!!!!!
 
wamechemka wamerud kwao et vymbo vyao vinaenda chn ya maji km50 tu na space islnder ipo chin zaid ya hzo km50 wameshasepa kwao
 
wakuu nungwi ikoje,nimejaribu ku-google ili nipate story yake lakini haipatikani kwenye net,tunaomba mtu anajua historia ya nungwi atueleze
 
wamechemka wamerud kwao et vymbo vyao vinaenda chn ya maji km50 tu na space islnder ipo chin zaid ya hzo km50 wameshasepa kwao
<br />
<br />
Mkuu meta 50 au km50, maana kama ulivyoandika ni kama kutoka posta hadi ruvu.
 
walikuja ni waogeleaji kama wapale feli usanii mtupu hawana lolote halafu subirieni gharama zake lazima muanzishe thread kibao kupinga huo mkwanja..

langu jicho hehehehheeeeeeeeiyaa.
 
nina uhakika alimaanisha mita 50. Hakuna mahali baharini popote duniani penye kina cha km 50. Hata Pacific haina.
 
wakuu nungwi ikoje,nimejaribu ku-google ili nipate story yake lakini haipatikani kwenye net,tunaomba mtu anajua historia ya nungwi atueleze

Ni mahali mkondo bahari moto wa Somalia unapokutana na Mkondo bahari baridi wa Mozambique panakuwa panachafuka sana tu. Fuatilia zaidi kwenye link hapa chini ina ramani ya mikondo bahari yote duniani utakuona Nungwi. Stori za wavuvi wanasema ukikwama Nungwi na jahazi unaweza kuibukia India, Tanga, Unguja , Pemba , Madagascar au ukapotelea baharini kutegemea na bahati yako.

http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/6/67/Ocean_currents_1943_(borderless)3.png
 
nina uhakika alimaanisha mita 50. Hakuna mahali baharini popote duniani penye kina cha km 50. Hata Pacific haina.
<br />
<br />
....yah it is very true mkuu. Mana bahari yenye kina kirefu duniani ni pacific ocean ambayo ina kina cha 10,924 metres = 10.924km
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom