MICHUZI Agomea WAANDISHI; ASUSIA MAANDAMANO YAO

Nafikiri kabla ya kumhukumu mngetaka kujua alikuwa wapi na kwanini hakuja, maadili ya utumish wa umma ni tofauti na taratibu za vyombo binafsi, aidha kwa vyovyote michuzi huenda alikuwa na ratiba ambazo mwajiri wake ameshampangia hivyo kumlaumu moja kwa moja ni kutomtendea haki. Kuwa mpigapicha wa ikulu sio jambo dogo na sio kitu cha kuchezea.
 
JAMIIFORUMS ACHENI UNAFIKI KUDhani kuwa ninyi ni kila kitu.yapo matukio ambayo jf inakuwa haiyaweki ila ninyikwa kuwa mmeshalewa mnadhani kila habari lazima ianzie jf.juzi press comference ya chadema ililetwa hapa tokea blog ya mjengwa yule mnayemuita ninyi kibaraka wa ccm.wakati mwingine mnatia hasira sana nyie.mbona hata mimi nakaribia kuondoka na kuiblock jf maana siku hizi kimekuwa kijiwe cha matusi kama ya lusinde

ninyi wakinanani? wewe mwenyewe ni memba wa jf!
 
Jamani labda mandao ulikuwa down...huko ikulu na alkuwa nairobi na mukuru...!!
 
Huyu jamaa na kafulana kake ni mnafiki wa hali ya juu! Mi nlishaacha ku visit blog yake longtime ago!
 
Nafikiri kabla ya kumhukumu mngetaka kujua alikuwa wapi na kwanini hakuja, maadili ya utumish wa umma ni tofauti na taratibu za vyombo binafsi, aidha kwa vyovyote michuzi huenda alikuwa na ratiba ambazo mwajiri wake ameshampangia hivyo kumlaumu moja kwa moja ni kutomtendea haki. Kuwa mpigapicha wa ikulu sio jambo dogo na sio kitu cha kuchezea.
Sasa hapo kwenye red unatutisha au unatueleza!? kwa taarifa yako Michuzi si mwajiliwa wa Ikulu bali huwa anamegewa Mapande tu na wajanja wajanja akina Salva, maana Ikulu yetu imeshakuwa ya Kiswahili na ni sehemu ya madili. Mpiga picha wa Ikulu anaitwa Fredy Maro.
 
JAMIIFORUMS ACHENI UNAFIKI KUDhani kuwa ninyi ni kila kitu.yapo matukio ambayo jf inakuwa haiyaweki ila ninyikwa kuwa mmeshalewa mnadhani kila habari lazima ianzie jf.juzi press comference ya chadema ililetwa hapa tokea blog ya mjengwa yule mnayemuita ninyi kibaraka wa ccm.wakati mwingine mnatia hasira sana nyie.mbona hata mimi nakaribia kuondoka na kuiblock jf maana siku hizi kimekuwa kijiwe cha matusi kama ya lusinde
Huna hata chembe ya Credibility ya kuiongelea JF, be the first to know ni JF. tena wewe ni useless Member chapa lapa hata sasa hivi.

user-online.png
CRITO

Today 06:26
#60
Member Array

Join Date : 30th August 2012

Posts : 52

Rep Power : 312

Likes Received
56

Likes Given
0
 
JAMIIFORUMS ACHENI UNAFIKI KUDhani kuwa ninyi ni kila kitu.yapo matukio ambayo jf inakuwa haiyaweki ila ninyikwa kuwa mmeshalewa mnadhani kila habari lazima ianzie jf.juzi press comference ya chadema ililetwa hapa tokea blog ya mjengwa yule mnayemuita ninyi kibaraka wa ccm.wakati mwingine mnatia hasira sana nyie.mbona hata mimi nakaribia kuondoka na kuiblock jf maana siku hizi kimekuwa kijiwe cha matusi kama ya lusinde

Nenda Banaa umejoin AUG 30 2012, sio Threat

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tobaaaaaaaaaaaaaa yailahi amenunua hilo la nini?
STA70161-1.jpg

Inawezekana kamnunulia MKE wake zawadi ya Valentine. Kwa jinsi alivyolishika kwa hisia mpaka kafumba macho inatutia Mashaka waungwana..mpaka yule dada kwa nyuma kabakia kushangaa ya Musa. Mtu mzima na suti yake kalishika dubwana kwa hisia zote, Michuzi umetishaaaaa!
 
Huyu ni picha maalumu wa familia ya kikwete,analipwa kuripoti matukio ya familia ya rais huko ikulu hivyo mchumia tumbo kama huyu usitarajie angekuja kuwaunga mkono.
 
STA70161-1.jpg

Inawezekana kamnunulia MKE wake zawadi ya Valentine. Kwa jinsi alivyolishika kwa hisia mpaka kafumba macho inatutia Mashaka waungwana..mpaka yule dada kwa nyuma kabakia kushangaa ya Musa. Mtu mzima na suti yake kalishika dubwana kwa hisia zote, Michuzi umetishaaaaa!
hayo ndio yanayowafanya watu kudiriki hata kuuwa waandishi ili mradi suti inayomeremeta kama hii ya ya michuzi
 
...Taarifa za Kiintelijensia zinasmea kwamba huyu Bwana yuko Safarini na Mkulu na jana walikuwa kwa Kibaki na ndio maana hakuwepo hata hapo Jangwani.
 
Back
Top Bottom