MICHUZI Agomea WAANDISHI; ASUSIA MAANDAMANO YAO

Michuzi hana kosa lolote, wenye matatizo ni ninyi mnaotembelea blog za kipuuzi kama hizo, mimi Michuzi nilishamblock na blog yake ipo kwenye black list na nimeiripoti kama spam kwenye Laptop yangu zaidi ya miaka 3 iliyopita, the same na nilivyomblock Maggid Mjengwa kuanzia juzi Jumapili kwenye laptop yangu.

Kwa kifupi hawa bloggers wawili ambao wanafikiri kwa kutumia matumbo yao, mimi si sehemu ya Jamii ninayopaswa kushare nao chochote kutoka kwao, hawa ni virus hatari katika Taifa kama hili.
 
Michuzi ni mpiga picha mzuri,lakini sio mwandishi wa habari na ninavyo fahamu mimi maandamano ni kwa waandishi wa habari.Sasa unataka yeye akafanye nini.
 
katika hali ambayo hakutegemewa kwa mwanablog issa michuzi kunyima uzito
tukio lla waandishi walipoandamana kulekea jagwani.

Sasa hivi ni saa 9.30 mchana hawezekani kuwa amashidwa kuweka tukio zima
badala yake tukio lililotokea sa 7 mchana kwa mh lowasa kukabidhi madawati kwa shule
ya kipawa
12.jpg

je michuzi huu ndo uzarendo wa kweli?

Source:michuzi

maandamano yao sio muhimu kwa watu wote....double standard ya waandishi wa tz ndio maana hata watu hawana habari na yaliwapata...
Waache undumi la kuwili..watangaze habari zote kwa haki , usawa, na bila ya kuegemea upande wowote
otherwise wataandamana na wengine wataona ni sawa na wao wanapopata mikongoto ya polisi bila ya kupewa kipau mbele na wanahabari
hivyo michizi ana haki ya kuweka kipi cha umuhimu kwake yeye binafsi kama wandishi wanavofanya
 
Zogwale hahahaa dah nilikua nafikiri sawa na wewe!!iyo picha,,, Safari tumeipata asee
 
Last edited by a moderator:
We can Just Ignore Him He is good for Nothing. Angekuwa na akili SI angeacha Kumchonganisha Rais wa Nchi na Mambo ya personal Life!! Kama suala la Kutembea Juu ya bembea Kule Ughaibuni, Suala la Ghala la Mahindi nk, nk nk
 
Everybody is entitled to have their opinions on several matters.

Including opinions in favour of cold blood murderers !! That's what you are saying !!
Remember,
Those who live by the sword (including their supporters), will die by the sword !!
 
Achaneni naye, hana umuhimu wa kihivyo........
Ona sasa, hakwenda na maandamano yamefanyika kwa mafanikio makubwa!
Vita au mapambano huanzia kwenye nafsi!
 
Michuzi huyu huyu? au wengine maana michuzi wapo wengi...kama ni huyu wa ze fulana aka mzee wa konoz aka mithupu asingeweza kushiriki maana unga ungeweza kuota nyasi.
 
Nategemea Mengi zaidi kwa Waandishi wa Habari kuwa Wasiishie hapo bali waiangalie zaidi Familia ya mwenzao(Mwangosi) aloiacha isije kuwa kwa kuandamana kwao ndo basi, umoja huu walouonyesha waendelee kuudhihirisha kuikomboa familia hii
 
Aiseeee babaangu michuzi anaoga ikulu,anavaa ikulu,analula ikulu,anajisaidia haja ndogo na kubwa ikulu,analala ikulu,,mke waka anamnaniliu ikulu unategemea nini???

Ngoja niendelee kujiburudisha na mbege mie
 
Katika hali ambayo hakutegemewa kwa mwanablog Issa Michuzi kunyima uzito
tukio lla waandishi walipoandamana kulekea jagwani.

sasa hivi ni saa 9.30 mchana hawezekani kuwa amashidwa kuweka tukio zima
badala yake tukio lililotokea sa 7 mchana kwa Mh Lowasa kukabidhi madawati kwa shule
ya kipawa
12.jpg

Je Michuzi huu ndo uzarendo wa kweli?

Source:MICHUZI

MIchuzi sio mwandishi ni blogger
 
Michuzi hana kosa lolote, wenye matatizo ni ninyi mnaotembelea blog za kipuuzi kama hizo, mimi Michuzi nilishamblock na blog yake ipo kwenye black list na nimeiripoti kama spam kwenye Laptop yangu zaidi ya miaka 3 iliyopita, the same na nilivyomblock Maggid Mjengwa kuanzia juzi Jumapili kwenye laptop yangu.

Kwa kifupi hawa bloggers wawili ambao wanafikiri kwa kutumia matumbo yao, mimi si sehemu ya Jamii ninayopaswa kushare nao chochote kutoka kwao, hawa ni virus hatari katika Taifa kama hili.

1) mkuu una block vipi ? na u report spam kwa nani..?

2) kwani ukiacha kutembelea ilikuwa haitoshi ..?

3)Je umempunguzia nini michuzi & magid so far ..?

1) mkuu una block vipi ? na u report spam kwa nani..? 2) kwani ukiacha kutembelea ilikuwa haitoshi ..? 3)Je umempunguzia nini michuzi & magid so far ..?
Mkuu njiwa majibu yako ni haya hapa;

1) Niliblock blog yake kwenye settings za laptop yangu kamwe huwezi kuzipata blog za Mjengwa na Michuzi., nadhani unafahamu vyema Spam ni nini siko hapa kukufundisha know ya IT.

2) Nikiacha kutembelea kimya kimya haitoishi na ndio maana kuna kitu kinaitwa boycott na natumia fursa kuwaomba wote wale wenye mapenzi mema kuzisusia blogu hizo mbili adui kwa Taifa.

3) Nimempunguzia nini Michuzi? nilichompunguzia ni Traffic kwenye blog yake na ambacho ndicho kigezo kikuu cha makampuni mbalimbali kukupa matangazo ili upate pesa za kuindesha blog yako. sitaki kuwa miongoni mwa wanaomuwezesha Michuzi kuonekana blog yake ina Traffic kubwa, na ndio maana JF ndio imepewa tuzo kama mtandao unaoongoza kwa mwaka huu kuwa na Traffic kubwa ya wanaoitembelea JF kuliko mtandao wowote. na nitaendelea kuisupport na kuiwezesha JF.
Je una lingine?.....
 
ahsante kwa majibu yako mazuri nimekuelewa ! though umesema hutaki kunifunza IT hebu nitoe angalau tongotongo nina block vipi blog kwa kutumia settings za laptop ..?

ahsante kwa majibu yako mazuri nimekuelewa ! though umesema hutaki kunifunza IT hebu nitoe angalau tongotongo nina block vipi blog kwa kutumia settings za laptop ..?

Anzisha thread kule Jukwaa la Technolojia kuna vijana watakuelekeza na hata ukitaka Internet ya bure yote hayo utayapata kulekule.
Na nilisahau tu kukukwambia pia TBC ni channel ambayo nyumbani kwangu nayo ipo kwenye Scrambled channel kwa mwaka wa pili huu sasa, waliogundua upuuzi wa TBC leo nawasikitikia sana.
 
Back
Top Bottom