kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #42 Rabiot anakosa goli la wazi kabisa
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #43 Aiseeee Ujerumani wanakosa goal tena
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #44 Si mchezo inatokea piga nikupige kwenye Goli la wafaransa
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #45 Pavard beki machachari wa France anagongwa kichwa hp
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #46 Dakika ya 61 Ujeruman wanapig kona lakini haileti mafanikio.
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #48 Dakika ya 63 kona nyingine inapigwa kwa wafaransa inachezwa vizuri
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #49 Pain killer said: Upo mwenyew uzi mzima Click to expand... Hata hapa sebleni niko Mwenyewe, nimenyimwa kutoka
Pain killer said: Upo mwenyew uzi mzima Click to expand... Hata hapa sebleni niko Mwenyewe, nimenyimwa kutoka
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #50 Benzema anapiga inakuwa butu.
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #51 Goaaaaaaal. Mbapeeee haaaaa offside jamani
Hardlife JF-Expert Member Apr 11, 2021 2,750 6,246 Jun 15, 2021 #53 kiwatengu said: Pogba leo anaupiga mwingi si mchezo Click to expand... Kweli kabisa. Pasi zina macho sana.
kiwatengu said: Pogba leo anaupiga mwingi si mchezo Click to expand... Kweli kabisa. Pasi zina macho sana.
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #54 Hardlife said: Goli la Mbappe limekataliwa hapa Click to expand... Kalipiga kitaalamu kabisa
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #55 Dakika ya 68 Ujerumani wanapiga kona
Hardlife JF-Expert Member Apr 11, 2021 2,750 6,246 Jun 15, 2021 #56 France watafungwa muda sio mrefu hapa
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #57 Pain killer said: Upo mwenyew uzi mzima Click to expand... Isitoshe nina mzuka sana na hii game siwezi kutoa updates vizuri
Pain killer said: Upo mwenyew uzi mzima Click to expand... Isitoshe nina mzuka sana na hii game siwezi kutoa updates vizuri
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #58 Hardlife said: France watafungwa muda sio mrefu hapa Click to expand... Wanafanya mchezo na hawa Wajerumani. Ni wabaya sana
Hardlife said: France watafungwa muda sio mrefu hapa Click to expand... Wanafanya mchezo na hawa Wajerumani. Ni wabaya sana
Hardlife JF-Expert Member Apr 11, 2021 2,750 6,246 Jun 15, 2021 #59 kiwatengu said: Wanafanya mchezo na hawa Wajerumani. Ni wabaya sana Click to expand... Wanawaruhusu sana kufika golini kwao
kiwatengu said: Wanafanya mchezo na hawa Wajerumani. Ni wabaya sana Click to expand... Wanawaruhusu sana kufika golini kwao
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,641 14,786 Jun 15, 2021 Thread starter #60 Kuna Substitution tatu zinafanyika kwa Ujeruman kwa wakati mmoja.