Michuano ya Euro 2020 kuanza kutimua leo 06/11/2021

Mnyuke junior

Member
Jun 1, 2021
19
15
Mashindano ya uefa euro 2020 yanaanza kutimua vumbi leo ijumaa kwa mtanange mkali wa kundi A baina ya miamba TURKEY Vs ITALY majira ya saa 4 kamili usiku kwa saa za afrika ya mashariki, je wewe unamtabiria nani kuibuka bingwa wa euro 2020?? Weka utabiri wako hapa chini
20210611_080308.jpg
 
Bingwa hatakuwa giant.Spain,Portugal, Germany,Netherland hawawezi kuwa ma bingwa. Akina Denmark ndiyo watakua mabingwa
 
Huo mfumo uliotumia kuandika tarehe huwa unachanganya sana. Hapo inasomeka tarehe 6 mwezi wa 11 mwaka 2021
 
Bingwa safari hii anaweza kuwa Belgium wana kikosi kizuri sana lakini Spain, Germany, England na Italy watakuwa the closest challengers.
 
Back
Top Bottom