Michongoano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michongoano

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Yona F. Maro, Nov 26, 2008.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Nov 26, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mchongoano… 1. Ati home kwenu mume sota deadly mpaka mume covert swimming pool
  yenu kuwa car-wash 2. Ati deep-freeze ya fridge yenu iko na ma-paintings za ma-Eskimo
  huko sehemu za North Pole 3. Ati grand-father 'ako ame badilisha jina la nyanya 'ako to Michelle
  Obama with immediate effect 4. Ati serekali yenu ime sota deadly, mpaka siku hizi Kibaki hutuma
  "Please call me. Thank you" kwa Kikwete, Museveni, Kagame na Obama… Wame lose patience na siku hizi wao hujibu "Please I don't have
  credit. Thank you." 5. Ati nyanya 'ako ana poster moja kali sana ya Bob Marley kwa wall ya
  kager yake 6. Ati vile saa hizi kuna noma ya economic meltdown/financial
  crisis huko States, ume suggest kwa MP yako "Green card" ibadilishwe iwe "Red card"
  7. Ati home kwenu mume chanuka deadly… ati kila moja wenu hulipa fare ya ma-3 na M-Pesa
  8. Ati doggy yenu ina tattoo moja kali sana ya Obama… next to tattoo ime andikwa "Security we can believe
  in" 9. Ati muna bill-board kwa compound yenu… muki enda ocha huwa muna chora "Coming Soon" kwa hio bill-board yenu
  10. Ati jina la shags yenu ime badilishua to "New Kogelo" with immediate effect… ati after all kuna New Zealand , New York , New
  England na pia New KANU 11. Ati grand-father 'ako ana poster ya Boyz II Men kwa kager yake
  12. Ati nyanya 'ako ni mzee deadly… ati bado ako na voter's card yake yenye alitumia kwa uchaguzi ya Lenana kuwa Laibon ya wa-Maasai hizo
  nyakati za kitu
   
Loading...