Michirizi nyuma ya magoti ni ugonjwa wa Wanaume wengi

Mwanaume uliyekamilika ukipishana na mwanamke wa hivi, lazima shingo yako igeuke.

Hasa ukute ndo kavalia kanga moja, ndo katoka kuoga mnapishana koridoni

Au umkute kavalia suti yenye sketi fupi anaokota faili lililodondoka ofsini

Au kajilaza TU kwa uchovu kifudi fudi kitandani na kanga moja tu kifuani

Au kavalia dera anajaribu kukatiza mfereji wenye maji mengi akivuta vuta dera lake juu ya magoti lisiloe na maji

Ila kinachonisikitisha zaidi kwa Sasa,

utakuta wanawake wanahangaika Kwenye saluni na mahospitalini kuondoa hii michirizi

KWAKWELI MUNGU NI FUNDI SANA



View attachment 1985658View attachment 1985659View attachment 1985660View attachment 1985661
Mi ugonjwa wangu shingo yenye wimbi (kama ile ya aliewahi kuwa wa afya) kwa kweli napenda sana
 
Hiyo kitu sipendi kwa kweli..nashangaa mnapendaje, kitu natural and soft skin.

Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
Hata kama hupendi michirizi utakutana nayo hata kwenye mandazi

20211024_211733.jpg
 
Back
Top Bottom